Makatanyugunyu
New Member
- Dec 1, 2018
- 2
- 0
Habari Dr na wanajamii forum mimi ninatatizo la jicho la kushoto linaniuma sana mpaka na kichwa kinauma tena upande wa jicho LA kushoto nilikwenda kwa Dr mmoja akanipa miwani ila bado napata tatizo hilo pia nikaamua linapouma natumia acefenac ya maumivu linatulia ila ila baada ya muda linaendelea tena kuuma plz naomben msaada wa Tina nipone tatizo hili wakubwa