Ni kipi chanzo na tiba ya misuli ya jicho kutikisika?

Nikama wiki mbili hivi jicho langu la juu linacheza sana, kila baada ya kama dakika 10. kuna maana yeyote? wanasayansi mnasemaje kuhusu ili?

Mzizi mkavu
 
Last edited by a moderator:
Mara nyingi jicho langu likicheza huwa nakuwa na malaria na nikipata matibabu linaacha au wakati mwingine napiga pesa ndeefu jicho la juu likicheza na kuota naogelea kwenye dimbwi la kinyesi.
 
likicheza upande wa kulia juu, kuna jambo utalisikia jambo zuri au utaliona au utapata kitu kizuri.

Pia kuna mkono kuwasha. Ukiwasha wa kulia ujue utatoa hela, patakutoka hela bila ya kupenda...ukiwasha wa kushoto basi fahamu siku hiyo lazima upige mihela. Fanya upelelezi uone
 
likicheza upande wa kulia juu, kuna jambo utalisikia jambo zuri au utaliona au utapata kitu kizuri.
pia kuna mkono kuwasha. Ukiwasha wa kulia ujue utatoa hela, patakutoka hela bila ya kupenda...ukiwasha wa kushoto basi fahamu siku hiyo lazima upige mihela. Fanya upelelezi uone
Hizo ni sawa na zile Imani kua ukikuta watu wamekaa na wewe ukawa umesimama eti unawanyonya damu - Fanyeni mazoezi hamtaki!
 
Kama uko safari na umeoa likacheza urudi haraka maana utakuta fumanizi.

Kama likicheza ukiwa nyumbani ujue utapata Pesa.
 
Asante chief72 kwa ufafanuzi.kama ni mazoezi nipo fit hata marathon za Kilimanjaro sikosaji 21km kila mwaka.
 
likicheza upande wa kulia juu, kuna jambo utalisikia jambo zuri au utaliona au utapata kitu kizuri.......
pia kuna mkono kuwasha....ukiwasha wa kulia ujue utatoa hela, patakutoka hela bila ya kupenda...ukiwasha wa kushoto basi fahamu siku hiyo lazima upige mihela....fanya upelelezi uone
Je Ma.sa.buri yakiwasha kutatokea nini?
 
Mara nyingi jicho langu likicheza huwa nakuwa na malaria na nikipata matibabu linaacha au wakati mwingine napiga pesa ndeefu jicho la juu likicheza na kuota naogelea kwenye dimbwi la kinyesi.

Na usiku wa kuamkia leo umeota unaogelea!?
Teh..teeh...teeeh.... Looh
 
Back
Top Bottom