Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,548
- 6,102
Wangapi mmesha pitia kwenye hii tabu utatamani ukapige ngumi au kofi ila ndio huweza tena itabidi uvumilie tu mpaka kamalize kenyewe yaani
Kwanini mkuu?Naona nazeeka vibaya
Nnako kangu kana mwaka mmoja.Wangapi mmesha pitia kwenye hii tabu utatamani ukapige ngumi au kofi ila ndio huweza tena itabidi uvumilie tu mpaka kamalize kenyewe yaani
View attachment 1746096
Hongera.Nnako kangu kana mwaka mmoja
Kama hivi sio...HahahahahTunaowanyonyesha ndo huwa tunaisoma namba mana anaeza akang'ata nyonyo halafu ukimpiga kakibao anaachia na kuanza kucheka.
Yaani hapo ameshasahau kabisa kama we ulikuwa unaumia.
Uuwiiii!! Umefanya nihisi maumivu Mkuu.Kama hivi sio...HahahahahView attachment 1746348
Hahahah noma sana..Wangapi mmesha pitia kwenye hii tabu utatamani ukapige ngumi au kofi ila ndio huweza tena itabidi uvumilie tu mpaka kamalize kenyewe yaani
View attachment 1746096
Poleni na hongereni mama zetu.Uuwiiii!! Umefanya nihisi maumivu Mkuu.
Hivyo hivyo yaani. 😂😂 na hapo Mtoto hana hata habari na bila kumstua anaeza acha kidonda 😂😂
Ahsante Mtani.Poleni na hongereni mama zetu.
Mtani siku hizi sikuoni kabisa kidimbwini au umehamia kwa next level umeachana na wale wa kilo 800!
Vibao mnavyotupiga tukiwa watoto viwe vya kutustua tu, kuna mama namuona anampa kitoto chake kibao cha kelbu utadhani aliiba huyo mtoto labor.Ahsante Mtani.
Naanzaje kuhama jamani. Lol. Kuanzia jumamosi utaniona tena kwani tushamaliza maombolezo. Teh
Mtani unadhania unampa kibao kikubwa basi yaani unachukua mkono wake unampiga kakibao cha kumstua kidogo na ndio sababu wengi baada ya hapo huwa wanacheka.Vibao mnavyotupiga tukiwa watoto viwe vya kutustua tu, kuna mama namuona anampa kitoto chake kibao cha kelbu utadhani aliiba huyo mtoto labor.
Naamini kikofi chako cha uamsho wa mahaba kwa mwanao ndio maana huwa anacheka baada ya Kofi mpalazo.
Jumamosi KMC watakufanya uthibitishe ile barua ya maandamano mliiandika nyie au laah!
Ujue Kmc hana dogo mtaniMtani unadhania unampa kibao kikubwa basi yaani unachukua mkono wake unampiga kakibao cha kumstua kidogo na ndio sababu wengi baada ya hapo huwa wanacheka.
Hahahahaaa. Tunajua watakaza ila mwishowe wataachia tu.
Meno imara Kama chumaWangapi mmesha pitia kwenye hii tabu utatamani ukapige ngumi au kofi ila ndio huweza tena itabidi uvumilie tu mpaka kamalize kenyewe yaani
View attachment 1746096
Naona hujachelewa Mtani. LolUjue Kmc hana dogo mtani
Hii picha ngoja niifanye iwe avatar yangu