Jichanganye uweke kidole hapo utatamani ukapige ngumi ila ndio huwezi yaani

Mr pianoman

JF-Expert Member
May 22, 2019
2,017
2,000
Wangapi mmesha pitia kwenye hii tabu utatamani ukapige ngumi au kofi ila ndio huweza tena itabidi uvumilie tu mpaka kamalize kenyewe yaani

FB_IMG_1613996136573.jpg
 
Shadeeya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
40,865
2,000
Poleni na hongereni mama zetu.

Mtani siku hizi sikuoni kabisa kidimbwini au umehamia kwa next level umeachana na wale wa kilo 800!
Ahsante Mtani.

Naanzaje kuhama jamani. Lol. Kuanzia jumamosi utaniona tena kwani tushamaliza maombolezo. Teh
 
Tayukwa

JF-Expert Member
Dec 11, 2014
1,344
2,000
Ahsante Mtani.

Naanzaje kuhama jamani. Lol. Kuanzia jumamosi utaniona tena kwani tushamaliza maombolezo. Teh
Vibao mnavyotupiga tukiwa watoto viwe vya kutustua tu, kuna mama namuona anampa kitoto chake kibao cha kelbu utadhani aliiba huyo mtoto labor.

Naamini kikofi chako cha uamsho wa mahaba kwa mwanao ndio maana huwa anacheka baada ya Kofi mpalazo.

Jumamosi KMC watakufanya uthibitishe ile barua ya maandamano mliiandika nyie au laah!
 
Shadeeya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
40,865
2,000
Vibao mnavyotupiga tukiwa watoto viwe vya kutustua tu, kuna mama namuona anampa kitoto chake kibao cha kelbu utadhani aliiba huyo mtoto labor.

Naamini kikofi chako cha uamsho wa mahaba kwa mwanao ndio maana huwa anacheka baada ya Kofi mpalazo.

Jumamosi KMC watakufanya uthibitishe ile barua ya maandamano mliiandika nyie au laah!
Mtani unadhania unampa kibao kikubwa basi yaani unachukua mkono wake unampiga kakibao cha kumstua kidogo na ndio sababu wengi baada ya hapo huwa wanacheka.

Hahahahaaa. Tunajua watakaza ila mwishowe wataachia tu.
 
Tayukwa

JF-Expert Member
Dec 11, 2014
1,344
2,000
Mtani unadhania unampa kibao kikubwa basi yaani unachukua mkono wake unampiga kakibao cha kumstua kidogo na ndio sababu wengi baada ya hapo huwa wanacheka.

Hahahahaaa. Tunajua watakaza ila mwishowe wataachia tu.
Ujue Kmc hana dogo mtani
Hii picha ngoja niifanye iwe avatar yangu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom