Jichagulie fursa ya biashara na miradi hapa (Fursa 150)

Natamani serekale ingekubali umri wa kustaafu uwe ni wakati wowote mtu akipenda. Ningejiondokea zangu maana hapo kuna kazi nyingi kweli naweza kufanya na zingine nimeshaanza mdogo mdogo.
Mkuu hujui kuandika resignation letter? Kama kweli unataka kujiondokea, kwani watakupeleka segerea?
 
kujiuzulu ni haki yako ya kibinadamu na kikatiba.
 
Watanzania mbona Lugha yenu wenyewe inawapata Shida namna hii? Au we nyantuzu na iArmaniAdamson ni banyamulenge?
Digna37 anauliza km kuna uwezekano Serikali Ikamruhusu KUSTAAFU wakati wowote apendapo mtu.
Nyie mnaleta Habari Ya KUJIUZURU.!!
Au hamjui tofauti kati ya KUSTAAFU na KUJIUZURU?

Ngoja niwafundishe Sasa kwa lugha ya kikoloni.

KUSTAAFU maana ya ni TO RETIRE na Kujiuzuru Maana yake ni TO RESIGN.

Na Kimantiki Mwenye KUSTAAFU(Retired person) anapata Mafao yake yote pamoja na Kiinua mgongo chake kwa uchache kutoka Serikalini na Km ana cha binafsi basi pia anaanza Kulipwa.
Lkn Mwenye KUJIUZURU(resigned person) Mwenyewe Au Kuuzurishwa HAKUNA MAFAO YYT anayopewa mpk afikie Umri wa Kustaafu.

Msipoelewa hapo muwahi Hospitali fasta.
 
Last edited by a moderator:
Watanzania mbona Lugha yenu wenyewe inawapata Shida namna hii? Au we nyantuzu na iArmaniAdamson ni banyamulenge?
Digna37 anauliza km kuna uwezekano Serikali Ikamruhusu KUSTAAFU wakati wowote apendapo mtu.
Nyie mnaleta Habari Ya KUJIUZURU.!!
Au hamjui tofauti kati ya KUSTAAFU na KUJIUZURU?

she wants to quit her post and become an entrepreneur, NOT to retire on pension and wait to die like the way you potraiting
 
Last edited by a moderator:
Natamani serekale ingekubali umri wa kustaafu uwe ni wakati wowote mtu akipenda. Ningejiondokea zangu maana hapo kuna kazi nyingi kweli naweza kufanya na zingine nimeshaanza mdogo mdogo.

she wants to quit her post and become an entrepreneur, NOT to retire on pension and wait to die like the way you potraiting

Dont put your words in her mouth fella, Read what she wrote .
She clearly says, and i quote "Natamani serekale ingekubali umri wa kustaafu uwe ni wakati wowote mtu akipenda....

Is that sounds like Quiting to you?
Are you insane?

I think you are NOT a Tanzanian rather a Hutu from Banyamulenge.
 
Watanzania wengi wamejikita kwenye no 83!
Uzi mzuri huu lakini. Hivi mambo ya bahari km uvuvi, mwani, n.k yapo?
 
ASANTE SANA Pol Pot, tuko wengi humu wengine hata shule walibabia babia tu kujua kusoma na kuandika mengine hawaelewi isipokuwa kudandia hoja bila kutumia akili wala hata kuchanganua mambo achilia mbali kufanya utafiti kidogo kuelewa tofauti kati ya hayo wanayotaka kuyapinga na kuyaandikia -----.

Watu wanashindwa kuelewa kwanini taifa hili linaangamia. Kumbe ni uvivu wa Raia kutokutaka kujifunza Kipi ni sawa na kipi si sawa.
Basi ukute hao wadau wawili hapo juu kuandika barua ya kujihuzuru ni haraka tu.
Hawajui hata haki zao.

Uchache wa elimu ni kitu kibaya sana
 
Naomba kujuzwa jamani,kuna mashine nili iona kwa mugabe ambayo inafanya kazi ya kukausha samaki kwa mvuke wa moto.Inaweza kukausha kama kilo 400 hivi kwa masaa matatu tu ila ina hitaji umeme wa uhakika. Nimeona huku kwetu samaki wana kaushwa kwa moshi,wengine wana kaangwa japo mafuta yao siyaamini kwa sababu sidhani kama huwa wana yabadilisha kabisa.
Kibongo bongo hivi watu wanaweza kununua samaki walio kaushwa kwa njia mbadala kweli?
Nawakilisha
 
Lengo la kukausha samaki ni kuweza kuwahifadhi muda mrefu bila kuharibika. Kwahio uwezekano wa kuwasafirisha mbali bila kuharibika unakuwepo.

Masoko ni mengi tu inategemea na samaki wa aina gani ulionao.

Unaweza kufanya biashara za aina mbili hapa.

1. Kuwasiliana na wauza samaki wanaopeleka nje ya nchi km kenya ,uganda ,rwanda na Afrika ya kati km unaweza kuwakaushia kwa gharama nafuu ili tenda hio ya kukausha wakupe wewe.

2. Kabla hujaanza kukausha chukua sample ya samaki waliokaushwa na hio mashine weka ktk package yenye kupendeza kisha Tembea Kwa Exporters walioko Dar uwaonyeshe hizo sample na wakati huo umesha tayarisha Price list yako iliochapishwa Vizuri inayoonyesha bei ya Kununulia Kiwandani na Bei ya kumletea mpk alipo.

Km mfuko wako mnene tembea mwenyewe Ktk nchi zisizo na Bahari km Uganda na baadhi ya nchi za Afrika ya Kati ukatafute soko mwenyewe.

Kila kitu kujaribu, na huwezi tengeneza pesa bila kutumia
Pesa. Lzm ujiandae na Gharama za Kutafutia Soko.

Ahsanta.
 
Mkuu asante sana kwa ushauri wako,niataufanyia kazi bila shaka na ubarikiwe sana.

Lengo la kukausha samaki ni kuweza kuwahifadhi muda mrefu bila kuharibika. Kwahio uwezekano wa kuwasafirisha mbali bila kuharibika unakuwepo.

Masoko ni mengi tu inategemea na samaki wa aina gani ulionao.

Unaweza kufanya biashara za aina mbili hapa.

1. Kuwasiliana na wauza samaki wanaopeleka nje ya nchi km kenya ,uganda ,rwanda na Afrika ya kati km unaweza kuwakaushia kwa gharama nafuu ili tenda hio ya kukausha wakupe wewe.

2. Kabla hujaanza kukausha chukua sample ya samaki waliokaushwa na hio mashine weka ktk package yenye kupendeza kisha Tembea Kwa Exporters walioko Dar uwaonyeshe hizo sample na wakati huo umesha tayarisha Price list yako iliochapishwa Vizuri inayoonyesha bei ya Kununulia Kiwandani na Bei ya kumletea mpk alipo.

Km mfuko wako mnene tembea mwenyewe Ktk nchi zisizo na Bahari km Uganda na baadhi ya nchi za Afrika ya Kati ukatafute soko mwenyewe.

Kila kitu kujaribu, na huwezi tengeneza pesa bila kutumia
Pesa. Lzm ujiandae na Gharama za Kutafutia Soko.

Ahsanta.
 
Dont put your words in her mouth fella, Read what she wrote .
She clearly says, and i quote "Natamani serekale ingekubali umri wa kustaafu uwe ni wakati wowote mtu akipenda....

Is that sounds like Quiting to you?
Are you insane?

I think you are NOT a Tanzanian rather a Hutu from Banyamulenge.

well I see, there are few five olds here.

You need to ask yourself why she said what she said on this thread.

There is a clear message behind her post, but you can't see it.

Read her post in full again, below I have quote the part you missed out 'smart guy'

Ningejiondokea zangu maana hapo kuna kazi nyingi kweli naweza kufanya na zingine nimeshaanza mdogo mdogo.
 
well I see, there are few five olds here.

You need to ask yourself why she said what she said on this thread.

There is a clear message behind her post, but you can't see it.

Read her post in full again, below I have quote the part you missed out 'smart guy'
[/QUOTE

Nilipuuza kukujibu lakini sasa naona ni vizuri nikujibu.
1. Nashangaa sana wewe ukiwa kama mwandishi wa hili bandiko ni kwa nini unajaribu kupindisha nilichoandika na kumaanisha, ukilazimisha kinyume na maneno na maana halisi ya maneno yangu, kwa sababu, sikulichukia bandiko lako bali nililifurahia sana. Kwangu lina umuhimu mkubwa.

2. Kama hufahamu tofauti kati ya KUSTAAFU na KUACHA kazi naomba ujaribu kufanya utafiti utofautishe hayo maneno 2 na hasara na faida zake kwa mtumishi.

3. Sidhani ni ustaarabu kuchukua kipande cha sentensi kupotosha maana na kuacha kingine ambacho unajua kingekuonyesha unapotosha. Nakili sentensi nzima na sio kipande cha mwisho tu.

4. Ulikwishajibiwa hapo juu, sasa kama unapenda tu kuendelea kuzungumzia kinyume na maelezo yangu kwa faida zako mwenyewe, endelea lakini imeeleweka na inaeleweka kwa wale wenye ufahamu tofauti kati ya KUSTAAFU na KUACHA kazi.

Huyo jamaa ni mgonjwa wa akili achana nae.
Kiingereza anachoandika pia ni shida tupu. Kuna Uzi alidai yeye ni Daktari. Kapigwa maswali kabaki mdomo wazi.

Teh teh teh.

He ain't worthy it.
 
well I see, there are few five olds here.

You need to ask yourself why she said what she said on this thread.

There is a clear message behind her post, but you can't see it.

Read her post in full again, below I have quote the part you missed out 'smart guy'

We akili yako iko likizo. Kukulewesha ni kupoteza muda tu.
Hapa ni sawa na kumpigia guitar mbuzi ukitegemea Atacheza!

Soo long moron.
 
Mi naona mtaji ndo tatizo nina wazo la biashara ambalo ndani mwezi hiyo biashara ikaniingizia milioni moja kama faida na zaidi
Yaan laiti kama nikuwa nauwezo wa kifedha nazani ningekuwa elic shigongo wa pili ila hv kwa nn TUSIUNDE KUNDI LA WAJASILIAMALI ILI TUWEZE KUJIKWAMUA KIUCHUMI KAMA MPO SERIOUS TUKUTANE WHATSSAP 0659865639
 
Back
Top Bottom