JIBU: Tatizo la kukawia kupata GOLI

Mzee wa Gumzo

Senior Member
Apr 21, 2008
197
5
Nimesoma post ya mwenzetu mwenye tatizo la kukawia kutoa mbegu za kiume wakati wa tendo la ndoa hadi kufikia dakika 50 kwa round moja.Wengi wamemshauri vizuri sana na hasa ushauri wa bibi kizee naungana nao mkono.Hata hivyo napenda nitoe vidokezo muhimu kwa mwenzetu na wengine wenye tatizo kama hilo.

Kwa kawaida muda wa mwanaume kufanya mapenzi kabla ya kufunga goli la kwanza unatofautiana.Unaweza kuwa kati ya dakika 2 mpaka 10.Urefu au ufupi wa muda utategemeana na mazingira ya shughuli yenyewe.
Kadiri mtakavyoandaana ndivyo mtakavyofaidi mapenzi kwa pamoja.Kumbuka kuwa mwanamke ni low senstive katika mapenzi wakati mwanaume ana high sensitivity.Kwa lugha nyingine mwanaume ni moto wa mabua au sufuria inayowahi kupata moto na kupoa wakati mwanamke ni chungu ambacho hukawia kupata moto lakini huchelewa kupoa.

Maandalizi yako na mkeo lazima yawe tofauti.Lazima ujue maeneo ambayo anasisimka zaidi na umshike na kumchezea maeneo hayo mpaka akuambie yuko tayari.Kwa upande wako ni lazima ajue maene ambayo wewe husikia raha sana unaposhikwa.Nakushauri mkeo awe anapendelea sana kuchezea uume hasa sehemu ya mbele ambayo ni sensitive zaidi.Ukisikia dalili za kumwaga mapema unamshauri asiendelee kushika.Mchezeane mpaka muwe tayari wote hasa mkeo.

Lakini kwa kuwa tatizo lako ni kuchelewa kupata goli la kwanza na kushindwa kupata la pili nashauri ifuatavyo.

Mkianza romance wewe uwe na delaying tactic kwa mkeo kusudi hamu yake ipande taratibu ila yeye azidishe kasi ya kuamsha hisia zako kwa kuwa ziko mbali hasa zile za kumwaga.Yawezekana kubalidi mfumo wenu wa mapenzi na kuzigawanya dk 50 unzotumia kumwingia mkeo.Katika hizo dakika tumia dakika ishirini kwa romance na mkeo ahakikishe anakuchezea sana maeneo sensitive.Muda utakaobakia utumie kumwingia mkeo na kukoleza kwa ufundi wa kla aina.Maneno ya mahaba ni silaha tosha kumfanya mtu aihisi kupaa na hapo lazima kitu kitajibu tu.
Suala la mapenzi ni la kisaikolojia zaidi hivyo ni lazima mawazo yako yaelekezwe kwenye mapenzi.Njia ya kwanza ni kuondoa kitu ulichonacho unachokiita tatizo.Hilo siyo tatizo ni HOFU.Wataalumu wanasema kuwa "WORRYING ABOUT IT MAKES IT EVEN WORSE...".Inashauriwa kuwa ukiwa na tatizo hilo lazima ujitahidi kutokulifikiria hasa kila wakati unapokuwa na mkeo.Tatizo lako ni kuwa umeshajenga hofu kuwa unakawia kupata goli na unashindwa kupata goli la pili.Ondoa hofu hiyo mawazoni mwako na uelekeze mawazo yako kwenye uzuri wa mkeo na utamu wa kile anachokupa.

Mawazo yako yakitawaliwa na raha ya mapenzi ni wazi kuwa hisia zitavutwa na utapata ashki ya kumwaga.Tawala kwanza mawazo yako halafu yaache mawazio yako yatawale hisia zako."when the mind is trained out of this loop in more positive thinking the problem can simply disappear"

Ukifanikiwa kutawala mawazo na hisia ingia hatua ya pili ya kutawala mchezo wa mapenzi.Mapenzi siyo 'kuingiza na kutoa kuingiza na kutoa na kukata mauno tu'.Lazima kuwepo na ufundi wa pande zote mbili. Tatizo lako kwa upande wa pili laweza likawa linachangiwa na suala la kimaumbile na kibaiolojia.Lazima ufahamu ukubwa na unene wa uume wako.Umbo na ukubwa vina mchango katika shughuli husika.Ni suala la kutambua.

Tatu mkeo na wewe lazima muwe watundu katika mchezo.Inawezekana kutokana na hofu uliyonayo na mkeo pia anachofanya mkeo ni kuharakisha afike kileleni na kukuacha ukiendelea kwa kuwa anajua kuwa wewe utachelewa kupata goli.Hatakiwi kuwa na hofu badala yake lazia mkubaliane juu ya cha kufanya.Jaribuni staili mbalimbali na maeneo mbalimbali ya kufanya mapenzi.Yawezekana hamjawahi kujaribu chuma mchicha, kiupandeupande, juu ya kiti n.k.

Kila staili ina mvuto na mambo yake.Kama umbo la uume wako ni jembamba ni lazima upate staili ya kuweza kuubana ukeni kusudi msuguano wa kutosha uwepo.

Ttizo la kibaiolojia laweza kuwa kwamba msisimko wako kwenye kupata goli upo chini sana kuliko ilivyokawaida.Kuna tofauti kati ya erection na timing in ejaculation.Lazima ujue kama tatizo liko hapo ulishughulikie.Kuna cases za wanaume waliokimbiwa na wake zao kwasababu walikuwa wanakawia kumwaga.Sikuogopeshi ila nakujulisha kuwa hilo ni tatizo ambalo laweza kutatuliwa.

Kumbuka kuwa waweza kuwa na tatizo la kisaikolojia au la kibaiolojia.ANZA HATUA KUKABILIANA HOFU ULIYONAYO NA MKEO NA ELEKEZA MAWAZO YAKO KWENYE HISIA ZA RAHA.Fanya kwa wiki moja.Wakati mwingine inashauriwa kuwa unaweza kutenga muda ukiwa umekaa mahali na mkeo ukajaribu kuvuta hisia zako juu ya mkeo hata bila kuwa nae kitandani.Tumia muda mwingi uwezavyo na uume ukisimama endelea kuwaza na kuhisi mnafanya mapenzi kwa muda.Ukisikia hisia zinapungua hebu jitazame kama kwenye uume wako kuna dalili ya majimaji au ni kukavu.Hii ni njia ya kujaribu kubalance hisia na muda wa kumwaga.

Ukifanikiwa kupunguza muda wa kumwaga utafurahi lakini ukishindwa mwanzoni kumbuka bado unaweza.
tembelea www.justbewell.com/delayed_ejaculation
 
Hivi kweli hilo ni tatizo?

Nyani nakubaliana na wewe kwamba kama huyo jamaa kama ni considerate kuhakikisha mkewe naye anafurahia mapigo yake basi hakuna tatizo, lakini kama ni selfish yeye anachojali ni kufunga hilo goli lake moja na kusubiri hadi kesho yake au kesho kutwa basi kuna tatizo kubwa. Huyu mama akiwahadithia marafiki zake kwamba mumewe ana uwezo wa kupiga masafa marefu kwa dakika hizo basi wengi wao watataka nao waonje raha ya masafa marefu. Kuna raha yake ya kujua na kupiga masafa marefu siyo unakuwa kama jogoo sekunde mbili tu umeshananino :( Ndiyo maana Jogoo inabidi tangu kunapokucha mpaka kunapokuchwa ajipige 100 kwa siku ili angalau ajisikie sikie na yeye amenanino
 
Mzee wa Gumzo,

Ninafurahi kwa maelezo yako marefu juu ya tatizo la mwna JF mwenzetu aliyedai kuwa kwake kupata goli la pili ni tatizo na kama ambavyo baadhi ya wana-JF wamemshauri nadhani huenda atapata ufumbuzi kwani yeye ameona ni tatizo kwake...Katika hilo pia nilikuwa naangalia pia interval ya mwanaume na mwanamke wanapokutana kufanya tendo la ndoa/ngono???? kuwa huchangia kwa kiasi kikubwa kuchelewa kufunga magoli zaidi. Hpa naamanisha kuwa endapo utakuwa umekaa kwa takribani wiki 1 mpaka 2 bila ya kufanya mapenzi na mkeo au hawara nina uhakika siku utakayopata mzigo uwezekano wa ku-ejaculate mapema ni mkubwa sana na kadri unavyoendelea na tendo la ngono ndivyo interval ya kupata magoli zaidi hupungua.

Hapa kwa kweli napenda kutofautiana na wale wanaodai kuwa unaweza kutumia delaying tactic kuchelewa kumwaga kwa kweli hiyo itategemea una kiu ya muda gani...Mimi binafsi nikipata mzigo leo nikapiga goli mbili ambazo hupatikana kwa wastani wa dakika 10 kwa la kwanza na dakika 20 - 30 kwa la pili.Lakini endapo kesho yake nitapiga mzigo tena bao la kwanza litachelewa hata kama mpenzi atanisisimua kiasi gani. So nadhani muda wa mwanaume aliokaa bila kupata mzigo una matter pia katika kuwahi au kuchelewa kupiga mishindo.....Mnasemaje??
 
Mzee wa Gumzo,

Ninafurahi kwa maelezo yako marefu juu ya tatizo la mwna JF mwenzetu aliyedai kuwa kwake kupata goli la pili ni tatizo na kama ambavyo baadhi ya wana-JF wamemshauri nadhani huenda atapata ufumbuzi kwani yeye ameona ni tatizo kwake...Katika hilo pia nilikuwa naangalia pia interval ya mwanaume na mwanamke wanapokutana kufanya tendo la ndoa/ngono???? kuwa huchangia kwa kiasi kikubwa kuchelewa kufunga magoli zaidi. Hpa naamanisha kuwa endapo utakuwa umekaa kwa takribani wiki 1 mpaka 2 bila ya kufanya mapenzi na mkeo au hawara nina uhakika siku utakayopata mzigo uwezekano wa ku-ejaculate mapema ni mkubwa sana na kadri unavyoendelea na tendo la ngono ndivyo interval ya kupata magoli zaidi hupungua.

Hapa kwa kweli napenda kutofautiana na wale wanaodai kuwa unaweza kutumia delaying tactic kuchelewa kumwaga kwa kweli hiyo itategemea una kiu ya muda gani...Mimi binafsi nikipata mzigo leo nikapiga goli mbili ambazo hupatikana kwa wastani wa dakika 10 kwa la kwanza na dakika 20 - 30 kwa la pili.Lakini endapo kesho yake nitapiga mzigo tena bao la kwanza litachelewa hata kama mpenzi atanisisimua kiasi gani. So nadhani muda wa mwanaume aliokaa bila kupata mzigo una matter pia katika kuwahi au kuchelewa kupiga mishindo.....Mnasemaje??

swadaktaaa Kipanga apo kwenye frequencey of having sex...ni muhimu sana..actually it follows kuwa unavokuwa unapata sex mara kwa mara, kale kautaratibu ka 'kukojoa haraka' kanapungua na kwa hiyo wote mnaenjoy zaidi kwa sababu, katika hali ya kawaida ina maana utakuwa na uwezo mkubwa zaidi wa kumridhisha mpenzi wako
 
Kipanga you are right.
Frequency katika kale kautaratibu kwa kweli inasaidia sana kuprolong muda wa 'kukuna nazi'.

Watu hasa wanasaikolojia na wataalamu wa mapenzi wanatoa njia kama 'stop-start' na 'squeezing of muscles' lakini ukweli ni kuwa njia hizo zinategemea na frequency ya kufanya ngono.

Good contribution
 


Too bad Ubungoubungo mwenyewe haja-respond kwenye post aliyoanzisha; tungepata uelewa mzuri.
I hope he is not toying with us.



.

Napata wasiwasi hu hata mimi but labda anafanyia kazi then ataleta majibu
 
Mzee wa Gumzo nakufagilia kwa ushauri uliotoa. It show that you did a critical thinking analysis. Ninathani ndugu yetu atakuwa amepata mengi. Ikiwezekana uonane nae live kwani inaonyesha una busara nyingi zinazoweza kumtoa mawaza na kufikia mshindo kwa muda muafaka. Je! goli la pili analotaka ni la nini? Wenzake hata hilo goli moja hatulipati.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom