tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,119
Awamu hii tunajifunza mengi sana!! Viongozi wetu ukiwauliza hiki wanakujibu kile!! Kwa mfano waziri wa viwanda ukimuuliza maendeleo ya viwanda walivyoahidi anakujibu vyungu vya kukaangia karanga za kuzungusha kwa ungo nacho ni kiwanda. Kana kwamba ndio ilikua ahadi yao ya kwenye kampeni. Hivyo kuonyeshwa kukelwa na majibu yao , hebu tuulizane maswali hapa huku tukijibu tofauti na swali la msingi ili kuenzi utamaduni wa viongozi wetu.
Mfano mkubwa zaidi angalizia (piga chabo) kwa bashite. Anaulizwa vyeti anajibu madawa ya kulevya, anauliza kuvamia clouds anajibu ninayajua mabaya mengi ya Rughe.
Natoa mifano kadhaa,, mwenzio akiuliza swali wewe jibu unavyojisikia kinyume na swali la muulizaji.
tikatika; swali.> tanzania tuna uhuru wa vyombo vya habari ??
Dogidogi; jibu> raisi wetu kesho anapokea taarifa ya mihogo ilivyo michungu!!
Swali,>Kwanini nape aliondolewa katika uwaziri??
Jibu;> bashite ana maendeleo siku hizi kajenga bonge la mjengo mwanza!!
Karibu tuzoee majibu wa viongozi wetu,,!