Jibu rahisi tu Kwenu kwa wale mnaomshangaa Haji Manara kwa Kauli zake kwa Pro - Magufuli dhidi ya wale Anti - Samia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,873
Ni kwamba tayari kuna Mstaafu Mmoja aliye karibu na Mteuzi Mkuu Kikatiba nchini Tanzania ameshampigia pande ili nae apewe Cheo kama cha Mwenzake Jerry Muro.

Baada ya Yeye ( Haji Manara ) kuona kuwa tayari Mambo yanaenda vyema kwa kuwa na dalili za Kuukwaa Uteuzi anachokifanya sasa ni Kujipendekeza kwa Mteuzi Mkuu ili awe anamsikia na amteue.

Ukaribu wa Baba yake na huyo Mstaafu Mmoja Mkuu Tanzania ndiyo Chachu ya Haji Manara kutafutiwa Cheo ama Serikalini au Chamani ( CCM ) ambacho alikitamani pia wakati wa Hayati Rais Dkt. Magufuli akipate ila kutokana na Unafiki, Upumbavu na Uwizi wake wa Rasilimali za CCM hakukumbukwa na Kutoswa.

Tegemeeni kusikia akiteuliwa katika Wadhifa wowote kwani Mteuzi Mkuu wa Tanzania pamoja na Nguvu zote alizonazo ila kwa Mstaafu huyo hapindui na ndiyo anamsikiliza na Kumuamini kwa kila Kitu kiasi kwamba leo hii hadi Kampuni ya Kisamjosamjo ( Kiujanjaujanja ) ya GSM ( zamani Home Shopping Center ) imerudi na inatamba inavyotaka na haigusiki tena mpaka inaogopwa.
 
Tumekusikia ila hapa pasiwe na usimba na uyanga tu.
 
Yaani hivi sasa enzi za HSC zimerudi upyaaa
 
Rafiki yangu sahau kabisa kuws jk huwa anawapa tu watu vyeo,au samia eti anaongozwa tu na jk,hizo nafharia haxina ushahidi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ni kwamba tayari kuna Mstaafu Mmoja aliye karibu na Mteuzi Mkuu Kikatiba nchini Tanzania ameshampigia pande ili nae apewe Cheo kama cha Mwenzake Jerry Muro.

Baada ya Yeye ( Haji Manara ) kuona kuwa tayari Mambo yanaenda vyema kwa kuwa na dalili za Kuukwaa Uteuzi anachokifanya sasa ni Kujipendekeza kwa Mteuzi Mkuu ili awe anamsikia na amteue.

Ukaribu wa Baba yake na huyo Mstaafu Mmoja Mkuu Tanzania ndiyo Chachu ya Haji Manara kutafutiwa Cheo ama Serikalini au Chamani ( CCM ) ambacho alikitamani pia wakati wa Hayati Rais Dkt. Magufuli akipate ila kutokana na Unafiki, Upumbavu na Uwizi wake wa Rasilimali za CCM hakukumbukwa na Kutoswa.

Tegemeeni kusikia akiteuliwa katika Wadhifa wowote kwani Mteuzi Mkuu wa Tanzania pamoja na Nguvu zote alizonazo ila kwa Mstaafu huyo hapindui na ndiyo anamsikiliza na Kumuamini kwa kila Kitu kiasi kwamba leo hii hadi Kampuni ya Kisamjosamjo ( Kiujanjaujanja ) ya GSM ( zamani Home Shopping Center ) imerudi na inatamba inavyotaka na haigusiki tena mpaka inaogopwa.
CCM MTAUWANA KWA MAJUNGU
 
Haya wai ukampikie mumeo sasa,
 
Kwa wasiofahamu Haji alipokuwa mwenezi wa CCM mkoa alifanya utapeli mwingi kwa kutumia jina la chama na alikuwa a atafutwa na polisi, mstaafu huyo akaja kuiua hiyo kesi
 
Back
Top Bottom