Jibu la Mhe.Jk kuhusu tatizo la ukosaji wa mikopo kwa wanafunzi, kupitia TWITTER.

Eshacky

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
962
243
Nilijaribu kumtweet mhe Jk Katika account ya TWITTER km mara tatu juu ya tatizo hili la MIKOPO hatimae kanijibu leo sasa hv anasema "Bod ya mikopo inalìfanyia kaz swala hil na anaamin ufumbuz utapatìkana haraka iwezekanavyo".nawasilisha

NB;
Natumia mobile cwez weka hiyo post, kwa anayeweza anisaidie aingie TWITTER ,acheck account yake ni jmkikwete, ataona kareply kwenda jina la Eshacky.

Wahanga wenzangu tuombe mungu hili asemalo liwe ni kweli.
 
Tunashukuru kwa kutufikishia salamu kwa mheshimiwa,tatizo hapa ni muda wa kushughulikiwa tatizo maana usajili baadhi ya vyuo umeshaanza na kwa wasio lipia nafasi zao wanatoa kwa watu wengine,hili la usajili ndio linaumiza kichwa maana kama ikiwezekana majina ya wanaostahili kupewa mkopo yangeorodheshwa katika chuo husika cha muanga kuwa wasajiliwe huku serikali ikiendelea kutafakari jinsi ya kuwapa mikopo yao.
 
Wizarani jana wamesemaje! Kuwa watawataalifu vyuo kulinda nafasi zetu mpaka hao wizara itakapotoa tamko, na barua ilisainiwa na katibu mkuu.ila sina iman na wizara.
 
Eshacky! Big Up!!! Nakupongeza sana kwa Juhudi zako unazozifanya endelea hivyo hivyo tunakuombea kwa Mungu akutie nguvu juhudi zako zifanikiwe.Tunashukuru sana kwa taarifa zako zenye faraja!!
 
Kuna mdogo wangu nae alimtext kupitia ile numbr yake ya simu na amemjbu kama alvo kujbu wewe,so kuweni na subira madogo.
 
Nilijaribu kumtweet mhe Jk Katika account ya TWITTER km mara tatu juu ya tatizo hili la MIKOPO hatimae kanijibu leo sasa hv anasema "Bod ya mikopo inalìfanyia kaz swala hil na anaamin ufumbuz utapatìkana haraka iwezekanavyo".nawasilisha

NB;
Natumia mobile cwez weka hiyo post, kwa anayeweza anisaidie aingie TWITTER ,acheck account yake ni jmkikwete, ataona kareply kwenda jina la Eshacky.

Wahanga wenzangu tuombe mungu hili asemalo liwe ni kweli.

Hayo majibu tulishayazoea
Ati kwamba
"Suala lipo kwenye mchakato na mkakati unafanyika."
Ndo hayo hayo majibu hata kwenye umeme huu ni mwaka sasa unakatika
 
Hivi wewe huna la kufanya zaidi ya kudanganywadanganywa? hujamuomba Vitenge na Kofia? Ukizowea vitenge tabu tupu
 
Eshacky! Big Up!!! Nakupongeza sana kwa Juhudi zako unazozifanya endelea hivyo hivyo tunakuombea kwa Mungu akutie nguvu juhudi zako zifanikiwe.Tunashukuru sana kwa taarifa zako zenye faraja!!

mkuu, nashukuru, tuendelee kupeana ushirikiano.
 
Hivi wewe huna la kufanya zaidi ya kudanganywadanganywa? hujamuomba Vitenge na Kofia? Ukizowea vitenge tabu tupu

pilipili usiyoilamba, itakuwashaje..! Hii lugha tunayoitumia kuongea hapa, ni ngumu sana kuielewa.
 
Huyo msanii tu. Hana lolote. We ulifikiri atakujibu vipi?
 
jaman mnauhakika kama huyo kweli ni jk?.maana wabongo weng wanapenda sana umaarufu kwa kupitia majina ya wa2.sina iman na hiyo account
 
Nilijaribu kumtweet mhe Jk Katika account ya TWITTER km mara tatu juu ya tatizo hili la MIKOPO hatimae kanijibu leo sasa hv anasema "Bod ya mikopo inalìfanyia kaz swala hil na anaamin ufumbuz utapatìkana haraka iwezekanavyo".nawasilisha

NB;
Natumia mobile cwez weka hiyo post, kwa anayeweza anisaidie aingie TWITTER ,acheck account yake ni jmkikwete, ataona kareply kwenda jina la Eshacky.

Wahanga wenzangu tuombe mungu hili asemalo liwe ni kweli.

Big up sana,kama kweli ni baba Riz mungu atusaidie ili tupate. UENDELEE KU2JULISHA KITAKACHOENDELEA!
 
Nilijaribu kumtweet mhe Jk Katika account ya TWITTER km mara tatu juu ya tatizo hili la MIKOPO hatimae kanijibu leo sasa hv anasema "Bod ya mikopo inalìfanyia kaz swala hil na anaamin ufumbuz utapatìkana haraka iwezekanavyo".nawasilisha

NB;
Natumia mobile cwez weka hiyo post, kwa anayeweza anisaidie aingie TWITTER ,acheck account yake ni jmkikwete, ataona kareply kwenda jina la Eshacky.

Wahanga wenzangu tuombe mungu hili asemalo liwe ni kweli.

Wewe humjui JK mkuu,hiyo ndio imekula kwetu mazima....huyu jamaa wakati anachukua fomu ya kugombea uraisi na baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya hapa Dodoma kumchangia hela za kampeni,alisema tatizo la mikopo itakuwa ni ndoto...haya sasa ona huu uchafu unaoendelea...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom