Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,223
- 7,993
habari wadau wana mmu!
leo nimepata ushauri kibao humu ambao niliufanyia kazi katika bandiko langu la jibu la jana "nipigie kesho,nimelala". Nilisema pia kuwa mimi sio mwaminifu sana,friend match huwa napiga pia sometimes.
Niliamua kuongea nae kujua mbivu na mbichi ili tukutane kimawazo yani kipi ni bora kwa mustakabali wetu na tufuate hilo for good.
Nilichogundua ni kwamba kumbe alihack akaunti yangu ya fb ya zamani ila sio zamani sana ni ya mwaka huu na kusoma msg zangu zote....na kuna msg moja nilikuwa nachati na rafiki yangu kuhusu mgegedo wa jana yake. Si unajua tena whatsapp!nimemsalimia akajibu,nikamwambia usiku mwema akaniuliza kama nina jipya!?kabla sijajibu zikaingia picha ya yale maongezi kisha ukafuata meseji kuwa hilo ndio jipya lake na hiyo niliyoweka kwenye heading. Mie nimejibu, okey fine fine basi.
Haya wadau nipeni ushauri kwani kiukweli nampenda mno yani sana ila ni umbali tu unazingua. Na makosa kweli ninayo sio siri,lakini nipo tayari kubadilika na najutia nilichofanya.
Tafadhalini nishaurini ni vipi naweza nusuru haya mahusiano!
Honestly,nampenda mno mno mno na hakuna kama yeye
nilitumiwa hizo picha za conversation yangu na rafiki yangu.....nimejaribu kuiedit na kuficha mambo flani hivi.
Hicho ndicho kisa......nampenda sana na ndio nishachemka tayari.
nyekundu ni mimi na njano ni jamaa yangu