Jibu la "kunionaje" pale unapoomba kuonana na Mwanadada

IoT

JF-Expert Member
Apr 21, 2014
1,057
1,400
Mitandao ya kijamii imekuwa ni sehemu ya kufahamiana na watu, kubadilishana mawazo, kupashana habari, kuuza bidhaa nk.
Linapokuja suala la mwanaume kuomba kuonana na mwanadada, kumekuwa na hii sijui nini maana'ke. Unaomba kuonana na mwanadada, mdada anauliza "kunionaje". Swali langu ni hili, wadada humaniisha nini kwa swali hili la "kunionaje"?
 
Unamwambiaa tu unavyofikiriaa ww ndioo hivyohivyoo nnavyotakaa kukuonaaa Wala Sina Nia mbayaaa niaminiii
 
wengi ukimwambia kwamba unaomba kuonana nae anawaza upande wa pili wa shilingi bila kujua anaweza kuja na mkayajenga ya kimaisha akarudi kwao bana
 
Mwambie lengo lako linalokufanya muonane, maake unapomwambia muonane anakuwa na majibu mawili kichwani🤣🤣🤣🤣
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom