Jibu kama kweli wewe ni genius!

Boloyoung

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
680
627
Inasemekana kwamba kila mtu ni genius, ila kutokana na uzembe tu ndio maana mambo madogo yanatushinda, ivyo basi ili kuthibitisha kwamba sisi ni ma genius ebu tujibu swali lifuatalo.

Kulikuwa na wadada 6 na kila Dada ana kaka mmoja ( 1 ) je jumla wakaka wako wangapi?
 
Mtego wa swali upo hapo kwenye mabano
 
Inasemekana kwamba kila mtu ni genius, ila kutokana na uzembe tu ndio maana mambo madogo yanatushinda, ivyo basi ili kuthibitisha kwamba sisi ni ma genius ebu tujibu swali lifuatalo.

Kulikuwa na wadada 6 na kila Dada ana kaka mmoja ( 1 ) je jumla wakaka wako wangapi?
Kaka mmoja tu
 
Aiseee! hiki ndo kipomo cha u-genius?.....Kwa kweli kusubiri hadi miaka 100 ijayo hakukwepeki.
 
McMan: Hey Tom take a look, this is how african measures their IQ to determine who are geniuses among themselves. Interesting eeeh?
Tom: Sh*****t
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom