Jiangalie,jichunguze,ni wakati wako sasa jirudi.

Sio wote! Inategemea na mtu na mtu. Kuna wengine kweli wana mawazo makubwa. Kuna wengine mawazo yao yanaishia kwenye umbea umbea tu. Hujawahi kukutana na shori ambaye huwezi kuongea naye let's say mambo investments, kununua shares, n.k....ukianza kuongelea mambo hayo mwenzako anakuona mshamba...John kisomo flani....lakini anza kuongelea mambo ya facebook na nani kaweka picha za party flani..uone atakavyoshusha stori....

Umakini hauna ujumla....inategemea na mtu na mtu

Ndio maana Nyani wanakwambia Ukitaka kwenda kuwinda inabidi usurvey your prey. Kuna wadada wengi sana wako smart than men. Thus why they say beyond every man success there is always a woman behind it.
 
WomenofSubstanc
user_online.gif

WomenofSubstanc has no status.
JF Premium Member



It is a good pic dada!prblm nikwamba haiko clear sana,nadhani ni background,au scanning setting!if you dn't mind jst do smthing to have the situation 'rectified'

Ndio maana yake Mkuu.
Haipaswi ionekana clear sana.
 
Agika,
hebu nambie vizuri... sijaona kitu hicho.kiko wapi?
kastukia Yo Yo kaifuta kaweka Yo Yo be right back , but kwasababu Yo Yo hataki madhambi tena hata ya kusema uongo nadhani akiiisoma hiyo post yako atakwambia ukweli tu kwamba aliiweka na kama kweli anaamaanisha au vp?
 
Hongera sana Yo Yo. Big up kwa sana, ni mfano wa kuigwa na wana-JF wote. Bravoo!!!
 
Sio kufa mkuu ila aisee unajua nimekaa nimefikiria mambo mengi sana.....hakuna raha ambayo sijaponda alafu sijaona faida hata moja.....muhimu kwa sisi vijana tutulie sisi ndio nguvu kazi...
nimeamua kubaki na shori mmoja tangu leo na mambo mengine nayaweka level ili niishi kama mwanadamu sio kama nilivyokuwa....
Mkuu YoYo hongera sana kwa uhamuzi wako mzuri uliouchukua,Mungu amesikia maombi yangu juu yako,hapo awali tabia yako ilikuwa inasikitisha sana,YoYo kama umeamua kubadilika nakuombea kila la kheri na ushikilie msimamo huo.....Mshukuru sana Mungu kwa kukuepusha na yule shori,maana leo tungekuwa tunaongea stori nyingine hapa.wanaJF ukiona mabadiliko ndani ya mtu ujue kapitia mengi,nasi tujifunze kutoka kwa YoYo.
 
kastukia Yo Yo kaifuta kaweka Yo Yo be right back , but kwasababu Yo Yo hataki madhambi tena hata ya kusema uongo nadhani akiiisoma hiyo post yako atakwambia ukweli tu kwamba aliiweka na kama kweli anaamaanisha au vp?

YoYo ... hebu tukusikie..yanayosemwa ni kweli?
Msema kweli ni mpenzi wa MUNGU!
 
NN,

Umeonywa uache ubishi husikii.

Katika mambo ya kiroho usiangalie nani anafanya nini, wapi, namna gani na kwa nini. Angalia zaidi wewe unapaswa kufanya nini na unafanya nini.

Duniani mkuu ulikuja pekee yako tena bila kitu, hukuja na Mkapa,Chenge, wala RA et al...wala hukuja na dhahabu, fedha, mbuga za wanyama etc....!

Simply ulikuja peke yako...na utaondoka peke yako! Na huko utakakopotelea utahukumiwa peke yako, hakutakuwa na shahidi Yo Yo, au NL, au Mkapa au Chenge.....you will stand alone mkuu!

Cheers

Mkuu NL,

Sijui kama ni kweli kwamba NN anakuwa mbishi. NN anajaribu kuzungumzia watu ambao wanapashwa kuhubiriwa kwa nguvu zote ili wajue kwamba wao ni wadhambi kama bado hawalioni hilo. Huwezi kukaa ukajiona wewe si mdhambi kama uliibia nchi na kwa wizi wako umesababisha kina mama wanao kwenda kujifungua wanafia hospitali kwa kukosa huduma muhimu, hosiptali hakuna dawa kwa kuwa serikali haina hela lakini hela hizo ziko mikononi mwa akina RA, EL, Mkapa, Kikwete, list ni ndefu halafu. Hawa watu wanaibia wananchi na kuwasababishia hali ngumu ya maisha wakati wao wanatesa na familia zao. Hakuna dhambi kubwa kama hii. Mimi nikifanya uzinzi, ninahesabiwa dhambi mimi na uenda isimuathiri any third party. Nikimchukia jirani yangu, inaishia kuwa kati yangu na jirani yangu, na hata nikiua mtu bado ninakuwa nimetoa roho ya mtu mmoja lakini these guys are killing mass of people!! Na hii ndio point ya NN.

Tuwahubirie hawa mafisadi kwanza wajue wanafanya dhambi kubwa na ambayo ina wagharimu maisha watanzania walio wengi kabla ya kuhubiria wazinzi!!!! Nina maana priority iwe kuwahubiri mafisadi wabadilike na kurudisha pesa za umma ili dawa zinunuliwe na tusomeshe wataalamu zaidi kwenye nyanja za elimu na huduma, tuwalipe vizuri watoa huduma n.k.

Tiba
 
Back
Top Bottom