Jiangalie,jichunguze,ni wakati wako sasa jirudi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jiangalie,jichunguze,ni wakati wako sasa jirudi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yo Yo, Jun 25, 2009.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Wakuu tukiwa kwenye mihangaiko yetu tusisahau kumtukuza Mungu hata tukiwa tumesongwa na matatizo...umeshawahi kujiuliza kwanini hufanikiwi, huna bahati na vitu kama hivyo

  ……dunia hii ina vishawishi vingi ambavyo vitakufanya uangamie kila pahala pamechafuka si kanisani msikitini au madhabahuni si mtoto au mkubwa si mjini au kijijini.......WanaJF hata hii vita ya ufisadi tusali sana huku tukirusha mawe hapa....
  Kila mwanadamu hapa duniani ni sehemu ya kupita tu wasafiri tuna makazi yetu ya milele uko tusikokujua….. kitu ambacho nasema ni tukumbuke kumrudia mungu wetu popote pale tulipo……. Nimechoka kuwa mdhambi na sasa lazima nimrudie muumbaji…..haina haja kuweka vifungu hapa na hii sio thread ya dini….je mko tayari kuacha dhambi?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jun 25, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Kuacha dhambi gani?
   
 3. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Pastor Yo Yo??!!!!..
  Ukiwa una au huna kitu/mafanikio, muda wote ni kumtukuza Mungu..Na uwe na imani pia uvumilivu..
   
 4. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Karibu kundini yoyo,hapa duniani ni wa kupita tu bila Yesu hukumu inangoja
   
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  dhambi nyingi.....nimeajiangalia aisee natenda midhambi kila mara alafu sijui nitailipaje......
  ....hili suala la kumega mega sio ishu kabisa
   
 6. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Mkuu, kumbe "vekesheni" inasaidia? Wazo zuri hili.
   
 7. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Najiangalia sana siku hizi.....najiuliza hii mijidhambi ninayotenda ina faida gani zaidi ya kuniangamiza.....nikiangalia watu wangu kibao wako futi 6 chini lakini mie najitia kibri kichizi kama Sir God mjomba'ngu.......
   
 8. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Hongera sana Yoyo kwa uamuzi huu,ila kukuambia tu kuwa Mungu haangalii yaliyopita so kama umeamua umeshakuwa kiumbe kipya.
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Jun 25, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Kumega sio dhambi....
   
 10. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Yo yo vipi tena kwani unataka kufa?Kwani inasekana makanisa mengi wanaenda wazee sana kwani kuwa wanaogopa kufa...baaada ya kuponda maisha...au wanasema shetani akizee hubadilika na kuwa malaika.
   
 11. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  usiwe mbishi kijana......huko nakujua sana.....btw unajua hata kutotimiza wajibu mungu hapendi.....
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Jun 25, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  alikuambia hapendi? na wajibu gani unaozungumzia wewe? bado nasema kumega sio dhambi
   
 13. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Sio kufa mkuu ila aisee unajua nimekaa nimefikiria mambo mengi sana.....hakuna raha ambayo sijaponda alafu sijaona faida hata moja.....muhimu kwa sisi vijana tutulie sisi ndio nguvu kazi...
  nimeamua kubaki na shori mmoja tangu leo na mambo mengine nayaweka level ili niishi kama mwanadamu sio kama nilivyokuwa....
   
 14. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mbarikiwa YoYO,
  Wherever you were - vacation, retreat...ni Mipango ya Mungu maana kama Saul on his way to Damascus nawe umeona mwanga!Kama Saul aliyebadilika kutoka mtesi SAUL hadi PAUL mtumishi mkuu wa Mungu, nawe pia badilika kutoka YoYo ..sijui utaitwa nani... endelea kuhubiri kwa bidii.Asiyesikia shauri lake wala usihangaike naye.Wewe songa mbele tu.
  Ubarikiwe sana!
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jun 25, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Ingekuwa bora zaidi ukienda kuwahubiria mafisadi wasio na huruma na utu...wanaoiba mahela huku raia wenzao wakilala chini kwenye masakafu huku wanaumwa wakati wao wakilala kwenye ma sleep number bed.

  Kawahubirie kina Mkapa walio wanafiki kwa kujifanya wacha Mungu huku wakiwa wameiba mamilioni ya hela za walipa kodi waishio kwa mlo mmoja kwa siku.

  Usijihangaishe na maghost wa kwenye mtandao ambao huwajui. Ka deal na wakiukaji wa haki za binadamu mafisadi wa CCM.

  Mijitu inaiba mali za wananchi halafu inajifanya mijitu ya dini micha Mungu. No no Yo Yo....don't misplace your priorities.
   
 16. Sasha Fierce

  Sasha Fierce JF-Expert Member

  #16
  Jun 25, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Psalm 23:The lord is my shepard i shall not want.He makes me lie down in green pastures;He leads me besides the still waters.He restores my soul;He leads me in the paths of righteousness for his name's sake.Yea,though i walk thru the valley of the shadow of death,i will fear no evil for you are with me,your rod and your staff they comfort me.
  Amen.
   
 17. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #17
  Jun 25, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  my brother nyani nilikuwa mbishi kama wewe sema mie huwa nafikiria sana sometimes ndio huwa nakuja ku realize kuwa nafanya fyongo......
  ....wajibu wako kama wewe ukiamka asubuhi unapasjwa kufanya nini? kama ni mfanyakazi je kazi unaifanya sawa sawa sio kutega...kama ni mwanafunzi unasoma kweli?

  ......kumega AKA kuzini mungu hapendi sitaki niingie ndani kwenye mafundisho maana italeta mtafaruku.....ila hakuna jamii ambayo utaenda utaambiwa uzinifu ni sifa!
  mimi ni kijana under 35 ipo siku nitaulizwa je nguvu zako za ujana ulifanya nini? nitajibu nini nikikumbuka ujana nimeutumia kwenye maasi......
   
 18. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #18
  Jun 25, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Aisee jirani wa K/rezi.....ukimya mkuu kumbe ulikuwa na mshindo? au mkuu ni maandalizi ya ''Goal yako ya 2010''? unasafisha mapito jirani?
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Jun 25, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  All I know sijawahi kumuibia mtu. Sijaua mtu. Sijawahi kumdhulumu mtu. Na kama dhambi zina viwango basi viongozi wa taifa letu watakuwa kwenye mstari wa mbele kuelekea motoni na Nyani atakuwa wa karibu na mwisho.

  Hakuna dhambi kubwa hapa duniani kama kuwatendea binadamu wenzako vibaya na kuwa mnafiki kwa wakati huo huo e.g. Mkapa, Sumaye, Chenge etc. etc.

  So take your preaching to them. Kawaambie waache kuiba hela za kununulia madawa hospitalini. Waambie warudishe hela zote walizoiba ili ziweze kutumika ktk kununulia madawati ya kukalia watoto wa shule za msingi, waambie warudishe hela ili ziweze kutumika kununulia vitanda mahospitalini. Waambie waache kuishi maisha ya kifahari huku wakiwa wamezungukwa na ufukara unaowasuta dhamira zao. Deal with them first....
   
 20. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #20
  Jun 25, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  All the best mkubwa.Ni kweli ni muhimu kuwa na check and balance kwenye haya maisha. Na lengo letu kubwa is to bear good fruits. How could we do it? I believe lazima imani kwa mungu na kuishi maisha yasiyo na mawaa iwepo.Nakutakia kila la kheri.lazima utambue hat hivyo kuwa hiyo nayo si njia rahisi.Ujipange vizuri utafanikiwa
   
Loading...