JF's impact on Tanzanian Politicts

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Wandugu,

sifahamu hasa wamiliki wa JF na kwamba waliazisha wakikusudia nini.

Kwangu mimi ni dhairi kwamba JF imechangia sana katika kukuza demokrasia katika siasa na sera za Tz. Pia katika mapambano dhidi ya ufisadi.

Siku chache kabla ya Uchaguzi mkuu wa Octoba 2010, MM aliazisha thread ambayo alidai angejiuzulu kuandikia humu JF kwa kuwa alihisi impact ya nguvu zake haikuwanufaisha wananchi wa vijijini. Patten ya idadi ya kura na ushindi katika Uchaguzi uliopita pengine ilithibitisha hilo

Kwa kuwa naamini kwamba bado tunahitaji JF kuelekea 2015, ingekuwa vema JF ikafanya impact assessment kuona achievment na changamoto ili kuboresha zaidi
 
ni sawa ulichoandika lakini kwa mbali hakieleweki!!!!

hufashamu kwa nini jf ilianzishwa..?
 
ingekuwa kama zamani sawa lakini siku hizi imejaa unafiki na hao wanoojiita MODS ni wanafiki na waonezi wakubwa sana
 
kuna wanachadema humu! huwa wanakurupuka na sasa wanabagua watu kidini na kimaeneo! usipime kabisa, to aneno baya kuhusu chadema ndio utaona hiyo impact yake unayoisema,

JF ipo siku zote, impact yake imekuwa positive, ila kuna wachache wanaiharibu na kumwaga upupu humu ndani ambao ni aibu kabisa, though wanakuwa wamefikia maximum level ya kufikiri kwao,
 
Naafiki kabisa observation yako, kinachokera kuliko vyote ni mods. Pengine tushawishi wabadilishwe? Sasa usishangae baada ya kusema hivi hii thread ikapotea kiaina!
 
Mkuu nadhani it is unfair kusema wanachadema wote humu ndani ni wabaguzi
 
Naafiki kabisa observation yako, kinachokera kuliko vyote ni mods. Pengine tushawishi wabadilishwe? Sasa usishangae baada ya kusema hivi hii thread ikapotea kiaina!

sio kupotea tu unaweza kupigwa BAN eti una lugha za matusi..MODs wamekuwa vibaraka na wanafanya mambo kwa interest za wakubwa zao huko serikalini..ukiisema serikali tu unaanza kuwindwa na pengine kupigwa BAN...wako emotional sana na hii inaharibu maana ya uhuru wa kuongea
 
Wandugu,

sifahamu hasa wamiliki wa JF na kwamba waliazisha wakikusudia nini.

Kwangu mimi ni dhairi kwamba JF imechangia sana katika kukuza demokrasia katika siasa na sera za Tz. Pia katika mapambano dhidi ya ufisadi.

Siku chache kabla ya Uchaguzi mkuu wa Octoba 2010, MM aliazisha thread ambayo alidai angejiuzulu kuandikia humu JF kwa kuwa alihisi impact ya nguvu zake haikuwanufaisha wananchi wa vijijini. Patten ya idadi ya kura na ushindi katika Uchaguzi uliopita pengine ilithibitisha hilo

Kwa kuwa naamini kwamba bado tunahitaji JF kuelekea 2015, ingekuwa vema JF ikafanya impact assessment kuona achievment na changamoto ili kuboresha zaidi

JF is one of web 2.0 tools, that is, a social networking tool. Or it is an online community with members with various interests who discuss different topics and share various information. This proves that we are now in the Information Age. In other words, the main purpose is communication.
 
Jamani ban na upoteaji wa baadhi ya thread ni kwa manufaa ya taifa sasa kama unaleta habari za uongo na uzushi si lazima ipotee!
AlFU HUO UBAGUZI UNAOUSEMA UMETOKA WAPI TENA JAMANI
 
hamna bana thread ikiwagusa wakubwa zao wanakupa BAN...Kuna mtu alimwita spika mteule ana sura kama kinu kapigwa BAN ya milele..sasa si uonevu huo au ni kujipendekeza kwa MODs kwa wakuu wa serikali
 
zamani Ipi Chezo maana weye naona umejisajiri 2010 ?

dadaa firstlady,

si unajua wengine wanafika mahali wanabadili itikadi kisha inamlazimu abadili jina ili asionekane amekula matapishi yake? pia si unajua wengine wamekuwa visitors tu kwa muda mrefu lakini ilipofika kipindi cha kampeni ndiyo wakaamua kuwa active participants? lakini sina uhakika kama Chezo anaweza kuwa katika any of these groups
 
hamna bana thread ikiwagusa wakubwa zao wanakupa BAN...Kuna mtu alimwita spika mteule ana sura kama kinu kapigwa BAN ya milele..sasa si uonevu huo au ni kujipendekeza kwa MODs kwa wakuu wa serikali

Kwi kwi kwi kwi:A S 13:
 
JF is one of web 2.0 tools, that is, a social networking tool. Or it is an online community with members with various interests who discuss different topics and share various information. This proves that we are now in the Information Age. In other words, the main purpose is communication.

yes, communication for what purpose? how have we achieved/not achieved that purpose? what are constraints and opportunities? how do we improve for better results in 2015?
 
hebu jibu basi hayo maswali uliojiuliza uone ilivyo raha
 
hamna bana thread ikiwagusa wakubwa zao wanakupa BAN...Kuna mtu alimwita spika mteule ana sura kama kinu kapigwa BAN ya milele..sasa si uonevu huo au ni kujipendekeza kwa MODs kwa wakuu wa serikali

kwa mtazamo wangu huyo mtu alihitaji ban, na mimi nampa nyingine tena kokote aliko. hapa pasiwe mahali pa kutukana watu.

lakini tunazungumzia serious threads zinanzishwa kisha punde zinatoweka. mimi binafsi thread zangu tatu zilitoweka kiaina na nilipoandika email kwa invisible kuuliza sikupata jibu. hata uki search huipati. nadhani hili ndilo tunalosema basi katika hii impact assessment kama mojawapo ya hitimisho ni kwamba mods wanatumiwa basi tupendekeze mabadiliko ya uongozi na moderation. mbona tunapendekeza wanasiasa na watendaji wengine serikali wajiuzulu?
 
hebu jibu basi hayo maswali uliojiuliza uone ilivyo raha

ha ha ha, acidi na wewe unaogopa kusema? halafu tunakaa hapa kila siku mahasira mengi eti kwenye vyama hakuna demokrasia, mbona unaogopa kusema kuhusu JF?

PS: Mkiona gurudumu hachangii tena humu mjue amekatwa shingo tayari!!!!
 
hamna bana thread ikiwagusa wakubwa zao wanakupa BAN...Kuna mtu alimwita spika mteule ana sura kama kinu kapigwa BAN ya milele..sasa si uonevu huo au ni kujipendekeza kwa MODs kwa wakuu wa serikali

Lengo ni mjadala wenye manufaa kwa jamii na lugha ya kistaarabu uhuru wa kutoa maoni usivuke mipaka. Kama unakosoa kwa nini utukane? Toa maoni kwa lugha stahiki na mods hawawezi kuvumilia matusi na kejeli kwa viongozi au kwa mtu yeyote
 
Mimi naamini jf ni forum sahihi na inatenda kazi yake vizuri kuleta mabadiliko -freedom of expression, nawashangaa watu wanaosema wanachadema wana lugha kali -mimi naamini sio wanachadema tu bali hata wazalendo wasomi wengine wakiona umeandika upotoshaji bila source au kuandika maada inayoonesha umetumwa lazima wakujibu tusiogope kujibiwa au kurekebishwa. Huwezi tumwa na fisadi kuleta unafiki jamvin wasomi wakuachie tuuu lazima upate majibu sahihi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom