Jf_education..... Sitawadharau Walimu Mpaka pumzi yangu ya Mwisho.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Leo Kwa haya Wanayo fanyiwa Walimu,Nasema kuna laana iko mbele ya viongozi ambayo imeweka giza katika mboni zao.,
nchi aliewapa tabu wakoloni mpaka kupata Uhuru alikuwa ni Mwalimu.,Heshima yao itadumu milele..leo nyie vigogo mnapeleka watoto nje ya nchi kusoma kwa sababu mnajua Kuwa mnakowapeleka watoto wenu mnauhakika na Walimu wapya,na wanalipwa vizuri si kama hawa wa ndani ya nchi...
Viongozi wa nchi hii acheni kuwadharau Walimu,wapeni madai yao,wapeni mahitaji yao...
Hakuna kiongozi ndani ya nchi ambae akupitia mikononi mwa mwalimu.

Mytake>>>Sitawadharau Walimu mpaka pumzi yangu ya Mwisho.>>>>>
 
unaongea na mtu mwenye laana zake! jk ni punguani, alishalaanika kabla hata hajaonyesha hizi laana! anahitaji maombi zaidi kuliko lawama! maana chizi halaumiwi!
 
unaongea na mtu mwenye laana zake! jk ni punguani, alishalaanika kabla hata hajaonyesha hizi laana! anahitaji maombi zaidi kuliko lawama! maana chizi halaumiwi!
Napita kwanza! labda nitarudi baadae!
 
Napita kwanza! labda nitarudi baadae!
nitakuwa siji kijiweni!! we nitibue tu! hahahaha KARIA bana, unaogopa kukwea mnazi, wazingoja zianguke na msimu hazina! mzima weye?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom