JF yawa king'amuzi kikuu cha vyombo vyote vya habari tz! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF yawa king'amuzi kikuu cha vyombo vyote vya habari tz!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Jul 12, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Kadiri siku zinavyosonga ndivyo jf inavyozidi kuaminika na kuwa king'amuzi kikuu cha vyombo vyote vya habari!

  Habari yoyote yenye mashiko hapa tz lazima ianzie jf! Hata kama habari ipo tumboni mtu hajafikiria kuitoa akifumba na kufumbua ataikuta inachambuliwa hapa jf!

  Binafsi na wasifu wana jf kwakuwa si waumini wa uzushi!

  Huu ni mtazamo wangu nipingwe kwa hoja tu!
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Nakubaliana na maneno yako hasa... "Kadiri siku zinavyosonga ndivyo jf inavyozidi kuaminika na kuwa king'amuzi kikuu cha vyombo vyote vya habari!" na mtazamo pia ni mzuri... ila kwa maoni yangu ni kua habari nyiingi saana ambazo zimekua zikichukua nafasi kubwa kwa majadilliano ya kasi na hoja za msingi mbali mbali ni Siasa... tofauti na maeneo mengine ya muhimu kama yanayogusa jamii moja kwa moja... na hata hivyo bado saizi hii forum ni changa... but Mungu ajalie in five years time.... itakua overwhelming... imagine kila mtanzania ambae ana access ya net hasa wasomi woote wajiunge hapa!! itakua astounding... and that is where JF is heading....
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  :pound:
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Is it a happy pounding OR Mad pounding...
   
 5. a

  alpha5 JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  kweli kabisa
   
 6. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #6
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  I don't know, may be both...!

  King'amuzi = Decoder
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Dah! haya basi elezea both sides of the coin...
   
 8. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  ni kweli kabisa jf imekuwa chanzo kikuu cha habari japokuwa ccm wanaiona kama threat kwa mustakabali wa chama chao.
   
 9. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #9
  Jul 12, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Swali gumu ni je ccm wapo tayari kufuata maadiko ya mlengo wakulia ya jf?
   
 10. Lugovoy

  Lugovoy JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Rare things surely do happen though rarely,si mnakumbuka uzushi wa issue ya Dr Yohana Balele,kuna mwana JF alisema yuko Bugando na walikuwa wanafanya taratibu za kusafirisha mwili tayari kwa mazishi but at the end of the day ilikuwa ni gossip,tunapaswa kuwa makini na vyanzo vya habari humu ndani.
   
 11. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #11
  Jul 12, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Habari ile kama ni mtu wa machipuko hutaendelea kuiweka akilini mwako!
   
 12. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #12
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Very true.....jf is the leading network in tz..
   
Loading...