JF Wheel Covers

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,793
Naomba msinitoe roho....kuniuliza T-shirt ziko wapi.....T-shirt zipo kiwandani ndio zinatengenezwa na pale zitakapo kuwa tayari mtafahamishwa.
Sasa mlikuwa mnahitajika mtoe maoni yenu hapa.......Je mtapenda pia kumiliki na wheel covers zenye nembo ya JF?......binafsi naona itapendeza......

Asanteni na nawapenda mno
 
Hapo wenye vibajaj nature inatueliminate,preta huu ni unyanyasaji wa kijinsia
 
preta sorry kwa kuuliza out of topic.
swali langu ni hili....
preta wewe kwenye huumradi wa t shirts na wheelcovers
upo kama nani?
 
Hapo wenye vibajaj nature inatueliminate,preta huu ni unyanyasaji wa kijinsia

hapana bana....si unaona hata kwenye nguo imeanza t-shirt baadae zitafuata nguo nyingine......kwahiyo kwa hapa tujaribu kwanza na hizo wheel cover......ikiwezekana na huwezi jua ya Mungu mengi inaweza kufikia kukatoka gari aina ya JF.....he he he
 
preta sorry kwa kuuliza out of topic.
swali langu ni hili....
preta wewe kwenye huumradi wa t shirts na wheelcovers
upo kama nani?

hi dear.....mambo.....kwenye huu mradi nipo kama mwanaJF mwenye nia njema sana na jukwaa letu hili kwa ujumla
 
hi dear.....mambo.....kwenye huu mradi nipo kama mwanaJF mwenye nia njema sana na jukwaa letu hili kwa ujumla

ok nadhani upo arusha
sasa wa dar je?wamuone nani?
bora umenielimisha,
nilikuwa na make assumptions
labda wife wa invisible lol
 
Haya bana tuletee atleast wanaukoo tutatambuana barabarani hata kama si kwa majina.Naunga mkono hoja
 
ok nadhani upo arusha
sasa wa dar je?wamuone nani?
bora umenielimisha,
nilikuwa na make assumptions
labda wife wa invisible lol

duh.....haya bana......hizi wheel covers bado hazijatengenezwa.....kinachotakiwa hapa ni je......wangapi mtahitaji......kinachotakiwa ni maoni yenu ili iweze kueleweka mmelipokea hili swala kwa kiasi gani.....ndipo zitaingizwa kiwandani
 
Aisee mi ntengenezeeni bendera ya JF niitinge kwa baisko yangu.

Hii ya Simba imeshaanza kufubaa.
 
Back
Top Bottom