Kuwa.....Kuna tetesi:tape::tape::tape:
Kuna tetesi:tape::tape::tape:
Za....?
Kuna tetesi:tape::tape::tape:
Kuna mtu kapata mchumba humu nawataliweka wazi muda muuafaka ukifika
Hongera ziwafikie hao ndege wawili wapendanao....
Wameondoa kwa sababu ya wivu Nini ?
Haswa my shem shem...vp cupcake(my sis) hajambo? Mpe hi sn naona majukumu yamembana.