Wagagagigikoko
Wawapi
Wagagagigikoko
Kesho walinzi wote kikao cha dharula..
Wengi wana zulula mchana usiku hoi!Siku hizi ndivyo mnavyoishi humu! Hakuna hata mlinzi....
Ukikosa kikaoni tuna nyofoa nyota🤣Kesho ipi?
Changamoto sanaUlinzi kipindi hiki cha mvua hali hua ngumu sana
Ulinzi kipindi hiki cha mvua hali hua ngumu sana
Kweli kabisaLindo halina watu kabisa
Lindo halina watu kabisa
Ulinzi kama kawaKweli kabisa