ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,851
- 41,924
Kaniweza khaswaa tena jioni njemaAliyekukamata kakuweza, ulikuwa huadimiki ile mida yetu hadi komeo tukawa tunakuachia
Kaniweza khaswaa tena jioni njemaAliyekukamata kakuweza, ulikuwa huadimiki ile mida yetu hadi komeo tukawa tunakuachia
Nawe pia bidadaKaniweza khaswaa tena jioni njema
Kesho naomba ruhusa kazini siku nzima naitafuta ile avatar ya zamani mpaka niipate na nikiipata ukubali kuitumia badala ya hii. Do we have a deal or not?
Asante Rafiki.
Hujambo Bbade?Tupo....za kwako?
Lindo Leo uko mwenyewe ?
Kweli tumezembea
Kaka upo?
Hujambo Bbade?
Za kupotea?
Nipo mdogo wangu. Kesho ikifika inakuwa imebaki miezi 4 kamili tumalize mzungukio.
Nimeanza count down
Ndiyo. Hata kule kwenye uzi wetu kuna siku ulipita kimya kimya tu nikaona baraka zako.Unanisingizia.....nipo ila kimya kimya.
Sijambo nashukuru....za weye?
Unikumbuke mwisho wa mzunguko
Ndiyo. Hata kule kwenye uzi wetu kuna siku ulipita kimya kimya tu nikaona baraka zako.
Mimi salama kabisa. Mr. Miller naye hajambo? Tumshukuru Mungu
AmenBarikiwa sana....
Oooh mambo, upo lindo ?
Lindo limeshika kasi tupoo mkuuMpoooo?