@joanah anajua we una mchumba?
Zamu yangu mzeeNipo ...
Hahahaha, haya usiku mwema
Umesahau sio ,nitakukumbusha siku nyingine, mie bado nalinda
Hatupoi hatuboi...Wewe acha urongo huwezi kuwa bongo ukascha nitafuta eti wewe huyo kabida uwe bongo uache nitafute mie mhhhh haki watakuwa wamekuroga itabidi nikakuague
Mabundi tunakucheki popo ukipita kwa speed ya Jet.Hello popo mkongwe hapa, nimepita kuwasalimia....ciao
Samahani mkuu, ndiomaana wahenga walisema kwamba yali madude sio maji.
Umeiona PM yangu ya msamaha lakini??
@don clericuzio Old school mwenzio huyo angalia Depal asichomoe battery.Wakongwe mbinu zao ni shida, unakosea jukwaani makusudi msamaha unaomea PM.
Hii strategy nitaitumia kwa Depal
Hatupoi hatuboi...
Mkaguzi wa lindo, nipo makini
Nikuweke daraja gani.Nami nakuona boss.
Hahahaha, ni kweli usemayo ,vipi lkn nani anakuficha na kukutekaWewe acha urongo huwezi kuwa bongo ukaacha nitafuta eti wewe huyo kabisa uwe bongo uache nitafute mie mhhhh haki watakuwa wamekuroga itabidi nikakuague
Hahahaha, ni kweli usemayo ,vipi lkn nani anakuficha na kukuteka
Mie wako usijari
Nikuweke daraja gani.
Popo
Bundi,
Baharia wa usiku.
Au mpiganaji wa zamu.
Mie nakuja kukuteka rasmi,uache utoto wako sasa ,Dogo vipi anaendeleajeWala sijatekwa na yeyote yule, nipo tu nipo tu.
Mie nakuja kukuteka rasmi,uache utoto wako sasa ,Dogo vipi anaendeleaje
Hahahaha ,huo sio utoto sasa ,au ndio kudeka? Ila vzr unastahili kudekaYaani hadi leo sijakua, utoto upo mule mule sijabadilika kitu i guess ndivo nilivyo hadi mie najishangaa.
Hajambo kabisa nashukuru aisee.
Hahahaha ,huo sio utoto sasa ,au ndio kudeka? Ila vzr unastahili kudeka
Msalimie sana