Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,231
- 88,071
Pole kwa safari mchumba.
Mchumba nimeingia KG leo, Jumamosi nachoma Gombe kuonana na Mababu zetu sokwe.
Mchumba nimeingia KG leo, Jumamosi nachoma Gombe kuonana na Mababu zetu sokwe.
AiseeeAsante Mchumba.
I hope uko powa.
LalaOya oya oya,kuna mlinzi aliyebaki huko Mafunga lindo.
Tusilaumiane.
Silali,ila nimetoa angalizo,tusije kulaumiana.Lala
Aliyekukamata kakuweza, ulikuwa huadimiki ile mida yetu hadi komeo tukawa tunakuachiaSiku hizi siingii lindoni ee usiku mwema
PowerrrrrrrPeopleeeeeeeee
Ameangukia meza, na kila kitu kikamwagika.Sitaki tena hii biashara kichaa.... Gad'Dem
Aiseee
Hii sasa dharau akyanani...Ameangukia meza, na kila kitu kikamwagika.
Yaani huyu dada kanipa hasara kubwa sana, maana whatever-vant yote imelowanisha sakafu....
Umevuta banginleo...?Hii sasa dharau akyanani...
Hauwezi amini, ile ya kwanza sijavuta hata kidogo... Shetani alikimbia nayo yote mshenzi yule...tehUmevuta banginleo...?
@joanah anajua we una mchumba?Yes.