Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo kumekucha muda huu naanza kunywa sasa hivi
Wapi hiyo mkuu,tukaribishane vyombo
Mkuu nipo Bukoba ni mbali sana na wewe
Poleni sana kwa msiba wa Morogoro.
Niliona taarifa aysee. Hatari sana..Asante sana mkuu,pole na wewe
Endelea mzee baba mimi nipo naendelea kunywa nikiwa huku huku bkMkuu mimi leo jipo Dom hapa nipiga vyombo
Niko hapa sijalala bado mkuuNan hajakala
Nan hajakala
Nyie hamlali kama mimiMimi na wewe
Tupo
Ustaarabu unaozungumzia hapa ni upi?Mm nipo macho wife ananinyima sasa miezi kadhaa na usingiz huwaga sipati.hasa nikitafakari mtu anaye mla mke wangu zaidi ni pale ninapo fikiria je anamla kwa ustaarabu?yaaan da ndoa ya moto sana.
Bado nipo Mimi ndio nafunga Uzi huu Leo wacha niwe kinganganizi mpaka kieleweke