Niko ofisini leo nimeingia shift ya usiku.
Naumwa mafua pia nimepigwa na upepo wa bodaboda kipindi nikija kazini.
Sijui lini mafua yataacha kunisumbua?
Nimechoka na viproject vyangu ninavyofanya mtaani lakini nashukuru baada ya kufika kazini nimefanya kazi kidogo network imeanza kusumbua.
Ni hasara kwa shirika lakini mimi nafurahi maana inanipa muda wa kuchati bila kuulizwa sababu pia leo ntawahi kulala kama IT wataendelea kuchelewa kushughulikia hili Mungu anisaidie maana kulala usiku huu kutanifanya siku ya kesho nisiwe na uchovu nnapoenda kusimamia project zangu ambazo na imani mpaka mwezi wa 12 ztakuwa zimenikwamua na umaskini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom