carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,482
- 285,359
001Nan tupo online
Tupo..Kuna habari ganiNan tupo online
Nani hao wanagomaTupo ila naona kama kuna mgomo vuguvugu.
Nani hao wanagoma
Ila sehemu nyingi mida ya baridi hii tusiwalaumu sanaToka nimekoment saa nane jana aliyeingia lindo ni mmoja tu, siyo mgomo kweli!
Wamachotafuta watakipata, tusijaribiane.
... Anza kuwatumbua.Toka nimekoment saa nane jana aliyeingia lindo ni mmoja tu, siyo mgomo kweli!
Wamachotafuta watakipata, tusijaribiane.
Baridi ndo inafanyaje mke??Ila sehemu nyingi mida ya baridi hii tusiwalaumu sana
Baridi ndo inafanyaje mke??