Namsikia mmoja kwa nje anasota kwenye ukuta..wenye mbinu za kuwadaka Hawa watu naomba
 
Leo rasmi nimeamini Africa tumelaaniwa.Timu 3 za Africa zimepigwa ktk mashindano ya Dunia.Women world cup South Africa walitangulia vzr but wakapigwa 3 na Spain,Nigeria wao hata hawajafurukuta wakala kipigo kizur tu toka Kwa wamama wa Norway.Iliyoniuma zaidi ni hii ya under 20 Korea na Senegal,Yani wamesawazishiwa goli dak ya 89.Wakapigwa kingine etra time but na wao wakasawazisha dak 119.

Njo kwny penalty,Korea akakosa,wao wakapata,mara kipa akadaka so wakawa na loose 2 Korea.Lakini amini usiamini Senegal wakaanza piga nje na kupaisha hadi wametolewa ktk tournament,INANIUMAAAAA.Africa tumelaaniwa.


Ni saa ngp huko Kwa tumbuatumbua.Swali ni Je,itakuwaje Kwa mawaziri wote endapo kila sekta wataitwa kuongea naye pale Ikulu.


Maajabu;toka kamishna wa TRA nchi nzima mpaka katibu tawala mkoa!!!!

Yesu njo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom