Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,936
- 40,518
Vyema sana, mara moja moja kusalimia familia inahusika.
Hatujambo shikamoo kaka.(pale unapojikuta umemwamkia mdogo wako wa tatu)Good kids, hamjambo?
Nashukuru kusikia hivyoDada yake mzima pia
hatujambo kaka mpendwa....
za mida?
Halafu Don mbona hukuleta mrejeshoVyema sana, mara moja moja kusalimia familia inahusika.
Baby MamaBby wangu
Vyema sana, mara moja moja kusalimia familia inahusika.
Hatujambo shikamoo kaka.(pale unapojikuta umemwamkia mdogo wako wa tatu)
Popo Na Bundi Wapo Wotendio naona wito wako
uvivu tu, inapaswa nijitahidi sana....
SitokubishiaHahaha, mimi ni old man.
Amigo Tupo Na Za Hapa Na Pale Zinatupoteza Na KurudiNaaam! long time no see you Amigo
Kamanda Una Sensor Ya Kujua HiloKuna mwana zengo wa humu mmoja nasikia mjamzito na hivi aonekane humu sasa nimengundua kweli ni mama Kijacho
Popo Na Bundi Wapo Wote
We mwanamke..Huu muda wa kuomba nyumba na gari we upo huku..Heloooo
Tena Sanawanatofautiana nini hao ndege?
Tena Sana
Sitokubishia
Inaeleweka, mbaya ni kuitupa familia moja kwa moja.