Kuna wakati unaweza kulaani hizi issue za dini. Maana kwanza hakuna mwenye uhakika kama amepatia, unakuta tunabaguana kwa kila mmoja kuona kama ya kwake ndiyo sahihi.

Mimi huwa nauliza swali kwamba ungezaliwa na wazazi wa imani tofauti ingekuwaje? So ungewafata?
Mimi nasemaga kila siku. Dini ni co incidence tu ya wazazi. Maana ungezaliwa na familia ya dini nyingine ungekuwa huko huko.

Mi kuna best yangu tunaiva sana. Ila mkewe anachukia sana watu wa dini yetu. Mfano kuna siku nilimtania shem huko kwenu hakuna mwingine nikaoe hata wa baba mdogo? Alijibu haraka in black and white eti kwetu hakuna wa kuolewa na M....?akamention dini yangu.

Huyo rafiki ana jina la dini tofaufi na imani yake. Yaani kama vile Abdul halafu Mkristo. Basi huyo mkewe hatumii jina hilo kisa halipendi ni jina la dini tofauti. Dah hizi dini hizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom