Hapo nilitegemea tu muziki lazima uwe mkubwa. Walioiba walipatikana?
Honestly, pale walikuwa wanafahamika kwa Sisi wachache ila kuwataja pale washikaji ilikuwa suspension,so tulibebana kiaina ilikuja kuwa wazi baada ya muhula mwingine,then na Muslims wenzao walikuwa ni moja ya wasuka mipango,wale ambao walikuwa hawafungi
 
Kweli hapo mliwalinda, kipindi cha mfungo jamaa walikuwa wanapendelewa sana shuleni kwetu, wanapikiwa futari halafu daku ni wali kila siku.

Usiku nilikuwa lazima nidoee wali angalau matonge mawili nikipiga na chai uji wa asubuhi nausahau.
 
Nikweli mkuu, tulikuwa tunavizia sana au mshikaji anakuletea kulingana na uhusiano wenu......yaani issue ya ubwabwa kwa wanafunzi ilikuwa hatari
 
Huwa inatokea, mimi nina jamaa wawili Muslims tumekuwa kama ndugu kabisa.

Jinsia tofauti ndiyo huwa sina bahati nazo za upande huo.
Mi wote mkuu na Muslims mabinti wawili nilidate nao hadi leo ni marafiki zangu maana ilibidi kuokoa jahazi,Bro alikuwa Kwenye relationship na Dada wa kiislam muda wa ndoa ilikuwa shida sana pande mbili za familia, wakajifanya kuzaa bado shida ikazidi,wakati huo huo namm dogo nilikuwa njia hiyohiyo, Daah ilibidi niongee nayule binti akanielewa maana mama angekufa kwa pressure japo tulipendana sana kaolewa mkoa fulani ila kuna muda huwa nachukia sana hizi dini tulizoletewa.

Mi ninaye mshikaji hadi kwao nafahamika ni watu wema sana kwao wamenifanya family member,then Baba yake ni sheikh maarufu hapa Dsm ila sijawahi ona nabaguliwa kwa namna yoyote kwakweli
 
Kuna wakati unaweza kulaani hizi issue za dini. Maana kwanza hakuna mwenye uhakika kama amepatia, unakuta tunabaguana kwa kila mmoja kuona kama ya kwake ndiyo sahihi.

Mimi huwa nauliza swali kwamba ungezaliwa na wazazi wa imani tofauti ingekuwaje? So ungewafata?
 
Binafsi huwa nachukizwa sana mtu anayemsema vibaya mtu kwa imani yake kwakweli, naamini imani yangu ila kwanini nisiheshimu anachoamini mwenzangu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom