Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 23,489
- 70,278
Waarabu wana nini?
Waarabu wana nini?
Mkuu kama unaweza kuanzishia thread yake yenyewe naomba unitag.Tuwashauri wadogo zetu hasa vijana kutafuta pesa kwa njia halali. Kuna mwizi tumetoka kumgonga hapa mbele ya mama yake kapigwa kiberiti, mama kalia hadi huruma ilinishika ila ndo ivyo huruma yangu haikufua dafu mbele ya wananchi wenye hasira kali
"Typed with my thumbs."
Mkuu nitalifanyia kazi hilo ili ujumbe uwafikieMkuu kama unaweza kuanzishia thread yake yenyewe naomba unitag.
Asante in advance.
BarikiwaMkuu nitalifanyia kazi hilo ili ujumbe uwafikie
"Typed with my thumbs."
sina tatizo kwanza nlkua mzima had naingia kulala hali ika chenchi ghafla tuu
kunao mlinzi apa kanifatia asali kwake
nina allergy lakin haijulkan ya nn ila matokeo yake ndo kama ivi kifua kubana
last year skuwah kuumwa even this year ila nko kasulu kigoma hapa ndo nashangaa af always usiku tuu
Umekuja kufunga geti naona04:25
Yechu asee vipi fasi hiyo?