Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,787
- 45,248
Sure!Inaogopesha...hope kutakucha mapema apate kumwona Daktari...
Sure!Inaogopesha...hope kutakucha mapema apate kumwona Daktari...
pombe chungu nliacha mwaka wa ngap sjui huu (nakunywaga tamu tuu
Dah...Basi tafuta mlongepombe chungu nliacha mwaka wa ngap sjui huu (nakunywaga tamu tuu
sina tatizo kwanza nlkua mzima had naingia kulala hali ika chenchi ghafla tuu
kunao mlinzi apa kanifatia asali kwake
nina allergy lakin haijulkan ya nn ila matokeo yake ndo kama ivi kifua kubana
last year skuwah kuumwa even this year ila nko kasulu kigoma hapa ndo nashangaa af always usiku tuu
Dah..POA sana...Ila mchana inzi...usiku mbu....nipo man inakuaje asee?
acha ukuda bas nkicheka nakohoa mkuu em nionee huruma
Wewe huyo? 🤣
Ok poa, hakuna linaloharibika.Ni kweli, nimeona nipumzike...nisome vya wengine
tatizo allergy ila inasababishwa na nn ndio haijulkan badoPole sana...
Fanaya ukachukue vipimo kwenye hopsitali kubwa....lazima utakuwa na tatizo
Kuna maelekezo Bradha amekupa hapo juu jaribu kufuata pia.
Tupo wote lindino tusukume masaa kukuche, Ugua pole.
tatizo allergy ila inasababishwa na nn ndio haijulkan bado
😂😂😂acha ukuda bas nkicheka nakohoa mkuu em nionee huruma
kujua inasababishwa na nn si kazi ndogo according to doctorInaezekana ukawa na PUMU,
Vumbi pia linaweza kukudhuru...
Au kuna msosi umekula...
Fanya vipimo upate jibu ujue jinsi gani ya kujitibu
nakohoa kinoma af napumua kwa shida
nikikaa naskia afadhali
anhee wakakwambiaje sasa?