sina tatizo kwanza nlkua mzima had naingia kulala hali ika chenchi ghafla tuu
kunao mlinzi apa kanifatia asali kwake
nina allergy lakin haijulkan ya nn ila matokeo yake ndo kama ivi kifua kubana
last year skuwah kuumwa even this year ila nko kasulu kigoma hapa ndo nashangaa af always usiku tuu

Pole sana...
Fanaya ukachukue vipimo kwenye hopsitali kubwa....lazima utakuwa na tatizo
Kuna maelekezo Bradha amekupa hapo juu jaribu kufuata pia.
Tupo wote lindino tusukume masaa kukuche, Ugua pole.
 
Inaezekana ukawa na PUMU,
Vumbi pia linaweza kukudhuru...
Au kuna msosi umekula...
Fanya vipimo upate jibu ujue jinsi gani ya kujitibu
kujua inasababishwa na nn si kazi ndogo according to doctor
nahisi ni hali ya hewa tuu sabab ivo vingine naktanana navo sana ila flesh tuu
nkiwa msoma hua kinabana asaivi na kasulu pia
hii mikoa naona siyo mzur kwangu
 
Tuwashauri wadogo zetu hasa vijana kutafuta pesa kwa njia halali. Kuna mwizi tumetoka kumgonga hapa mbele ya mama yake kapigwa kiberiti, mama kalia hadi huruma ilinishika ila ndo ivyo huruma yangu haikufua dafu mbele ya wananchi wenye hasira kali

"Typed with my thumbs."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom