Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,725
- 21,804
Ni njema.Kheri ya mwaka mpya.
Asante na kwako Pia.....
Ni njema.Kheri ya mwaka mpya.
hahahaha, haya bana hamna shida.salama chief, hamna bado najifunza
Nashukuru, ukapotelea wapi?Asante na kwako Pia.....
Nashukuru, ukapotelea wapi?
hahahaha, yeah nimekua mwana likes.Kumbe upo huku, mimi napita huku mara chache.Humu humu kwa Jukwaa la Usiku wa Manane, wewe si umejichimbia kwenye 'LIKES'
Avatar yako imenikumbusha matukio ya miaka ya mbali nyuma
hahahaha, yeah nimekua mwana likes.Kumbe upo huku, mimi napita huku mara chache.
Ulikua ukiangalia Shaun the sheep?
Pole mkuu.leo kifua kimenibana ataree apa yan napumulia mbavu....
nataman nlale ila nikijilaza tuu kosa
hapa nmekaa njee nakula upepo
kuna anae jua quick relief ya iyo kitu asee
maana kutakucha npo apa njee
leo kifua kimenibana ataree apa yan napumulia mbavu....
nataman nlale ila nikijilaza tuu kosa
hapa nmekaa njee nakula upepo
kuna anae jua quick relief ya iyo kitu asee
maana kutakucha npo apa njee
hahaha, Shaun wa watu yupo vilevile.Mwili mdogo utundu kibao.Mimi bado namwangalia mara moja moja🙈🙈Teh teh usinicheke...ila yes nilijikuta naipenda nikisubiria Shaun anenepe......
nakohoa kinoma af napumua kwa shidaPole mkuu.
Ukijilaza inakuaje?
nko serious mkuuUko na utani au uko serious?
nakohoa kinoma af napumua kwa shida
nikikaa naskia afadhali
pole mkuuleo kifua kimenibana ataree apa yan napumulia mbavu....
nataman nlale ila nikijilaza tuu kosa
hapa nmekaa njee nakula upepo
kuna anae jua quick relief ya iyo kitu asee
maana kutakucha npo apa njee
Dah...Chief...tafuta bapa...litalegeza kila kituleo kifua kimenibana ataree apa yan napumulia mbavu....
nataman nlale ila nikijilaza tuu kosa
hapa nmekaa njee nakula upepo
kuna anae jua quick relief ya iyo kitu asee
maana kutakucha npo apa njee
Pole sana.nakohoa kinoma af napumua kwa shida
nikikaa naskia afadhali
Pole sana.
Labda ungejaribu chai ya tangawizi na pia kama ukikohoa unatoa kohozi, jaribu kwenda bafuni ukohoe na kutuma hadi usikie vimeisha.
Pia, kama hujabadili foronya,shuka na neti kwa mda unaweza kujaribu kuvibadili.
Ikibidi uende kucheki daktari kesho.
nipo man inakuaje asee?
sina tatizo kwanza nlkua mzima had naingia kulala hali ika chenchi ghafla tuuUmeshaanza matibabu?
Zaidi ya kikohozi una tatizo lingine?