nakohoa kinoma af napumua kwa shida
nikikaa naskia afadhali
Pole sana.
Labda ungejaribu chai ya tangawizi na pia kama ukikohoa unatoa kohozi, jaribu kwenda bafuni ukohoe na kutema hadi usikie vimeisha.

Pia, kama hujabadili foronya,shuka na neti kwa mda unaweza kujaribu kuvibadili.

Ikibidi uende kucheki daktari kesho.
 
Pole sana.
Labda ungejaribu chai ya tangawizi na pia kama ukikohoa unatoa kohozi, jaribu kwenda bafuni ukohoe na kutuma hadi usikie vimeisha.

Pia, kama hujabadili foronya,shuka na neti kwa mda unaweza kujaribu kuvibadili.

Ikibidi uende kucheki daktari kesho.

Inaogopesha...hope kutakucha mapema apate kumwona Daktari...
 
Umeshaanza matibabu?
Zaidi ya kikohozi una tatizo lingine?
sina tatizo kwanza nlkua mzima had naingia kulala hali ika chenchi ghafla tuu
kunao mlinzi apa kanifatia asali kwake
nina allergy lakin haijulkan ya nn ila matokeo yake ndo kama ivi kifua kubana
last year skuwah kuumwa even this year ila nko kasulu kigoma hapa ndo nashangaa af always usiku tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom