Dionize N
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,848
- 3,292
Tungelalaje sasa vidume viwili na Ke mmoja i see
Wanyantuzu wangu hamjambo?
Karibuni tulale
Wanyantuzu wangu hamjambo?
Karibuni tulale
Fanya mpango kwa huyu kimwana ndugu!
Hiyo ni avatar tu, siyo halisi.
Siriisamu broTungelalaje sasa vidume viwili na Ke mmoja i see
Nafungua geti.....
Nawaaga.....
Muwe na Lindo jema
AsanteCool, wewe pia.
Kufungua na kukimbia huko vpNafungua geti.....
Nawaaga.....
Muwe na Lindo jema
Yaani...macho hayana ushirikiano kabisa....Kufungua na kukimbia huko vp
Pole utaingia shift ya saa 9Yaani...macho hayana ushirikiano kabisa....
Acha nilale kidogo....Pole utaingia shift ya saa 9
Tumia tu hilo hilo..kubadili jina m pm modsJamani mimi ni mgeni humu well literally si mgeni i joined 2014 and i never looked back sasa kasheshe nashindwa kubadili jina yangu niweke jina ya kinyambilisi ili niweze kutapika vilivyo.
Tumia tu hilo hilo..kubadili jina m pm mods
Wanyantuzu hawanisumbui akili hata kidogo nawamudu vizuri sanaUna makonfidensi eeeh! Wanyantuzu wawili utawaweza? Unawajua Wanyantuzu wewe au unawasikiaga tu?
Nitalala mzungu wa nne katikati yenuTungelalaje sasa vidume viwili na Ke mmoja i see