Myfancyface
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 948
- 900
Tofauti yao ni nini?!Naomba nikutambue, wewe ni popo au bundi?
Tofauti yao ni nini?!Naomba nikutambue, wewe ni popo au bundi?
Nimeamini pombe si chai, nilifakamia balimi za offer zikanizimisha kwa siku 2 mfululizo..........Hahahaha mkuu yawezekana offer zako za mvinyo zilimzidia
Hahahhaha Thad hv mm ni popo ama bundi? Nimesahau wadhifa wanguNaomba nikutambue, wewe ni popo au bundi?
Popo wisho wao saa 00:45 am wakati bundi mpaka saa 5:00 amTofauti yao ni nini?!
We popo.............ndo maana siku ile mkatuachia geti wazi; wewe na mwenzio Kichwa KichafuHahahhaha Thad hv mm ni popo ama bundi? Nimesahau wadhifa wangu
Upopo unanihusu!!! Ubundi unaweza kunikosti asbh nikashindwa kutafuta dona.Popo wisho wao saa 00:45 am wakati bundi mpaka saa 5:00 am
Heri yako umekiri mapema sio kama jje's..........Upopo unanihusu!!! Ubundi unaweza kunikosti asbh nikashindwa kutafuta dona.
Jaman loooh siku moja tu cheo kinabadilika?We popo.............ndo maana siku ile mkatuachia geti wazi; wewe na mwenzio Kichwa Kichafu
Kwema karibu lindoniJaman kwema humu..! kilingeni
Ila mimi nahis kwa siku hizi chache nitakuwa popoHeri yako umekiri mapema sio kama jje's..........
Kwema sana, karibu tujumuike woteJaman kwema humu..! kilingeni
Asantee Hahaha nilikua nasaka hela ya kula ugaliKwema karibu lindoni
Ulifichwa wapi siku hiz 2?
Asante!!salama huko lakiniKwema sana, karibu tujumuike wote
Tatizo ulishindwa kutoa utetezi wenye mashiko!Jaman loooh siku moja tu cheo kinabadilika?
Hahaaaa........sio kw siku hizi chache,daima wewe u popoIla mimi nahis kwa siku hizi chache nitakuwa popo
Ohoooh Bundi Thad upo? Habari za UnunioNi usiku mwingine tena.................popo na bundi karibuni!