JF: Usiku wa manane

No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Messages
5,774
Points
2,000
No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2016
5,774 2,000
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
 
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
11,438
Points
2,000
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
11,438 2,000
Ushimen nimeipata pm yako boss usijali
Samahani mkuu, ndiomaana wahenga walisema kwamba yali madude sio maji.
Umeiona PM yangu ya msamaha lakini??
Wakongwe mbinu zao ni shida, unakosea jukwaani makusudi msamaha unaomea PM.

Hii strategy nitaitumia kwa Depal
@don clericuzio Old school mwenzio huyo angalia Depal asichomoe battery.
 
mtu chake

mtu chake

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Messages
15,750
Points
2,000
mtu chake

mtu chake

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2010
15,750 2,000
Yaani hadi leo sijakua, utoto upo mule mule sijabadilika kitu i guess ndivo nilivyo hadi mie najishangaa.

Hajambo kabisa nashukuru aisee.
Hahahaha ,huo sio utoto sasa ,au ndio kudeka? Ila vzr unastahili kudeka

Msalimie sana
 

Forum statistics

Threads 1,336,276
Members 512,585
Posts 32,533,232
Top