JF: Usiku wa manane

No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Messages
5,767
Points
2,000
No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2016
5,767 2,000
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
 
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
11,408
Points
2,000
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
11,408 2,000
Wewe acha urongo huwezi kuwa bongo ukaacha nitafuta eti wewe huyo kabisa uwe bongo uache nitafute mie mhhhh haki watakuwa wamekuroga itabidi nikakuague
Hahahaha, haya usiku mwema

Umesahau sio ,nitakukumbusha siku nyingine, mie bado nalinda
 

Forum statistics

Threads 1,335,145
Members 512,245
Posts 32,496,973
Top