amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,103
- 30,992
Ha ha ha ha mimi dada yake na amu
Nzuri ujambo dadaa.. Hii ID sio mpya kweli? Do i know you dada?
Nzuri ujambo dadaa.. Hii ID sio mpya kweli? Do i know you dada?
Wooow kweli world change and peoples change too.. Kumbe ulibadiri. A masiku mrembo wewe, kitambo sana sijafika hukuHa ha ha ha mimi dada yake na amu
Ngoja mwenyewe atakujibu
Kazi kazi mkuu uumbaji ni mda wowoteHa ha ha huu ni muda wa uumbaji kwa nini tuko lindo?
unaota mda gan huo na hujalala?Aaaa mimi mapicha ya hivo siyapendaguli nsije nikaota bure
Wooow kweli world change and peoples change too.. Kumbe ulibadiri. A masiku mrembo wewe, kitambo sana sijafika huku
Kashalewa huyo kalala ataweza kukulinda kweli?Kazi kazi mkuu uumbaji ni mda wowote
unaota mda gan huo na hujalala?
Ooh.. lindo limepoa sio kama siku zile.. Pm zenu mnafunga tungekua twajuliana hali huko.Nami ndo napita Leo.
Kwa kweli hawezi kunilinda analala mapema sana.
Mchana ndoto hazitishi kama usikuHata mchana nitaota tu.
Nimecheka sana eti umetambua hiloNmelitambua hilo ndio maana silali napenda uwe salama Mchana ndoto hazitishi kama usiku
Ndio nmelitambua hilo na nafanya kwa ajili yako umecheka kwanini au ndio umefurahia uwepo wangu kuhakikisha u salama?Nimecheka sana eti umetambua hilo
Ndio nmelitambua hilo na nafanya kwa ajili yako umecheka kwanini au ndio umefurahia uwepo wangu kuhakikisha u salama?
Ahahaha ni upendo tu na wanasema ukipendwa pendekaNimefurahi a uwepo wako maana wengine wanalipa kupata ulinzi ila mimi napata bure kabisa.
Ahahaha ni upendo tu na wanasema ukipendwa pendeka
Hahahaha, leta namba yakoNdiyo nakaa hapo uje ijumaa mchana tukale biriani
Hahahaha, we ndio mkali wao sasaKwenye list yako ya wanawake wa jf na mie nipo kwenye warembo?
Hii mpya.
Huo ndo ukweli?
Hahahaha ,naona walinzi nyie mko vzrHahahaha,nimeghairi.
Endeleeni hkn anayewaonaHaiwezekani tubaki wawili wapo wanakula chabo.
Hahahaha, leta namba yako