JF:usiku wa manane

No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Messages
5,728
Points
2,000
No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2016
5,728 2,000
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
 
No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Messages
5,728
Points
2,000
No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2016
5,728 2,000
Mods kuna uzi mwingine umeanzishwa unafanana mpaka jina! Tusaidie kuuteka ulete huku haraka....tusaidiane kukesha.
 
No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Messages
5,728
Points
2,000
No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2016
5,728 2,000
WALINZI WA WIKI HII MLIKUWA WAPI? KUNA UZI MWINGINE UNAFANANA MPAKA JINA KAMA HUU UZI WETU,PopooooooooooooooZ! HII HAIKUBALIKI HATA KIDOGO KUNA WENZETU WAMESHATEKWA HUKO HATUA STAHIKI ZICHUKULIWE KWA KILA MDAU WA UZI HUU KUHAKIKISHA WENZETU WANARUDI KUNDINI HARAKA NA ULE UZI TUNAUTEKA HARAKA IWEZEKANAVYO HII DHARAU SASA.....POPOOOOOOOOOOOOOOOOOOz Amkeni!
 

Forum statistics

Threads 1,326,414
Members 509,499
Posts 32,221,180
Top