JF:usiku wa manane

No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Messages
5,728
Points
2,000
No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2016
5,728 2,000
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
 
koncho77

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Messages
5,467
Points
2,000
koncho77

koncho77

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2014
5,467 2,000
Nafikiri mimi ndio nafunga Uzi huu muda huu SAA nane na dakika thelathini na tano
 
Puppy

Puppy

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Messages
2,496
Points
2,000
Puppy

Puppy

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2011
2,496 2,000
Mm nipo macho wife ananinyima sasa miezi kadhaa na usingiz huwaga sipati.hasa nikitafakari mtu anaye mla mke wangu zaidi ni pale ninapo fikiria je anamla kwa ustaarabu?yaaan da ndoa ya moto sana.
Ustaarabu unaozungumzia hapa ni upi?

Styles za mkunjo
Au rates za pump-actions

Pole bwana
 

Forum statistics

Threads 1,325,751
Members 509,278
Posts 32,201,795
Top