JF Usiku wa Manane...!

No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Messages
5,453
Points
2,000
No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2016
5,453 2,000
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
 
Chumchang Changchum

Chumchang Changchum

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2013
Messages
3,560
Points
2,000
Chumchang Changchum

Chumchang Changchum

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2013
3,560 2,000
Walinzi mpo.. Naangalia mkutano wa wazee wabunifu kwenye mkutano wa Mheshimiwa Rais Magufuli pale Ikulu.. Ayseee wale Tanesco.. Mungu amjaze maarifa na hekima Mh Rais..
 

Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,475
Top