hapana,niko kote kote tu nimeamua tu kutembelea lower case....
teh teh
Hi guys
Uko poa DonHi to you...
Uko poa Don
Good, kazi njemaNiko poa aisee.
Okay, nimeona recently uko lower case.
Mimi ni case sensitive kama password.
pole...nimeamua kuweka utofauti....
Good, kazi njema
Vipi wewe uko powa?
sijambo dada...wiki endi imeishaje?Hujambo
ni makusudi kaka mkubwa....naomba unizoeeUsifanye hivyo aisee.
Unanitesa sana kuwaza kwamba ni bahati mbaya au makusudi.
Iko poa kabisasijambo dada...wiki endi imeishaje?
Vizuri sana.Niko mzima wa afya
ni makusudi kaka mkubwa....naomba unizoee