JF Usiku wa Manane...!

No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Messages
5,399
Points
2,000
No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2016
5,399 2,000
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
 
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
8,051
Points
2,000
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
8,051 2,000
Honestly, pale walikuwa wanafahamika kwa Sisi wachache ila kuwataja pale washikaji ilikuwa suspension,so tulibebana kiaina ilikuja kuwa wazi baada ya muhula mwingine,then na Muslims wenzao walikuwa ni moja ya wasuka mipango,wale ambao walikuwa hawafungi
Kweli hapo mliwalinda, kipindi cha mfungo jamaa walikuwa wanapendelewa sana shuleni kwetu, wanapikiwa futari halafu daku ni wali kila siku.

Usiku nilikuwa lazima nidoee wali angalau matonge mawili nikipiga na chai uji wa asubuhi nausahau.
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
6,402
Points
2,000
Age
51
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
6,402 2,000

Nikweli mkuu, tulikuwa tunavizia sana au mshikaji anakuletea kulingana na uhusiano wenu......yaani issue ya ubwabwa kwa wanafunzi ilikuwa hatari
 
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
8,051
Points
2,000
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
8,051 2,000
Nikweli mkuu, tulikuwa tunavizia sana au mshikaji anakuletea kulingana na uhusiano wenu......yaani issue ya ubwabwa kwa wanafunzi ilikuwa hatari
Sana, mimi nilikuwa na jamaa zangu wawili walikuwa wananipunguzia kiasi tinapiga nao daku. Shule raha sana.
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
6,402
Points
2,000
Age
51
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
6,402 2,000
Mimi walikuwa washikaji tu, ila tulikuwa piece sana, walikuwa hata kama nimelala lazima waniamshe.
Ila katika maisha yangu marafiki zangu wa kufa na kuzikana ni Muslims, na tunaishi vizuri sana kwa kusaidiana
 
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
8,051
Points
2,000
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
8,051 2,000
Ila katika maisha yangu marafiki zangu wa kufa na kuzikana ni Muslims, na tunaishi vizuri sana kwa kusaidiana
Huwa inatokea, mimi nina jamaa wawili Muslims tumekuwa kama ndugu kabisa.

Jinsia tofauti ndiyo huwa sina bahati nazo za upande huo.
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
6,402
Points
2,000
Age
51
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
6,402 2,000
Huwa inatokea, mimi nina jamaa wawili Muslims tumekuwa kama ndugu kabisa.

Jinsia tofauti ndiyo huwa sina bahati nazo za upande huo.
Mi wote mkuu na Muslims mabinti wawili nilidate nao hadi leo ni marafiki zangu maana ilibidi kuokoa jahazi,Bro alikuwa Kwenye relationship na Dada wa kiislam muda wa ndoa ilikuwa shida sana pande mbili za familia, wakajifanya kuzaa bado shida ikazidi,wakati huo huo namm dogo nilikuwa njia hiyohiyo, Daah ilibidi niongee nayule binti akanielewa maana mama angekufa kwa pressure japo tulipendana sana kaolewa mkoa fulani ila kuna muda huwa nachukia sana hizi dini tulizoletewa.

Mi ninaye mshikaji hadi kwao nafahamika ni watu wema sana kwao wamenifanya family member,then Baba yake ni sheikh maarufu hapa Dsm ila sijawahi ona nabaguliwa kwa namna yoyote kwakweli
 
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
8,051
Points
2,000
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
8,051 2,000
Mi wote mkuu na Muslims mabinti wawili nilidate nao hadi leo ni marafiki zangu maana ilibidi kuokoa jahazi,Bro alikuwa Kwenye relationship na Dada wa kiislam muda wa ndoa ilikuwa shida sana pande mbili za familia, wakajifanya kuzaa bado shida ikazidi,wakati huo huo namm dogo nilikuwa njia hiyohiyo, Daah ilibidi niongee nayule binti akanielewa maana mama angekufa kwa pressure japo tulipendana sana kaolewa mkoa fulani ila kuna muda huwa nachukia sana hizi dini tulizoletewa.

Mi ninaye mshikaji hadi kwao nafahamika ni watu wema sana kwao wamenifanya family member,then Baba yake ni sheikh maarufu hapa Dsm ila sijawahi ona nabaguliwa kwa namna yoyote kwakweli
Kuna wakati unaweza kulaani hizi issue za dini. Maana kwanza hakuna mwenye uhakika kama amepatia, unakuta tunabaguana kwa kila mmoja kuona kama ya kwake ndiyo sahihi.

Mimi huwa nauliza swali kwamba ungezaliwa na wazazi wa imani tofauti ingekuwaje? So ungewafata?
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
6,402
Points
2,000
Age
51
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
6,402 2,000
Kuna wakati unaweza kulaani hizi issue za dini. Maana kwanza hakuna mwenye uhakika kama amepatia, unakuta tunabaguana kwa kila mmoja kuona kama ya kwake ndiyo sahihi.

Mimi huwa nauliza swali kwamba ungezaliwa na wazazi wa imani tofauti ingekuwaje? So ungewafata?
Binafsi huwa nachukizwa sana mtu anayemsema vibaya mtu kwa imani yake kwakweli, naamini imani yangu ila kwanini nisiheshimu anachoamini mwenzangu?
 
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
8,051
Points
2,000
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
8,051 2,000
Binafsi huwa nachukizwa sana mtu anayemsema vibaya mtu kwa imani yake kwakweli, naamini imani yangu ila kwanini nisiheshimu anachoamini mwenzangu?
Hiyo ndiyo misingi bora ya maisha, so far huwa naamini matendo ndiyo bora zaidi kuliko dini hizi. Hata kama uko kwenye dini sahihi lakini judgement ni kuhusu matendo yako.
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
6,402
Points
2,000
Age
51
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
6,402 2,000
Hiyo ndiyo misingi bora ya maisha, so far huwa naamini matendo ndiyo bora zaidi kuliko dini hizi. Hata kama uko kwenye dini sahihi lakini judgement ni kuhusu matendo yako.
Yeah sure,mambo ya kujudge Dini ya mtu huwa inanikasirisha sana maana Mimi marafiki zangu wa karibu kila mmoja anaimani yake,na hatujawahi kukwazana kwa Dini zetu
 
Forum statistics

Threads 1,294,192
Members 497,843
Posts 31,167,683
Top