ningendako enyewe you really need it,unadai blunt?nikupitishie
IMG_20190213_022455_671.jpg
 
Yeah ni kweli ....lakini wale jamaa ni team kubwa na wamejipanga muda mrefu.... Tofauti na nyinyi ambao mnapitia Maputo ya kuwa na coacher mpya ...nikisema kuwa ndio mmeanza kujipanga sinto kuwa nakosea
Ni kweli kabsa,wala hujakosea tupo kwenye kiping kigumu,acha tukomae na top 4 kwanza,hlf tuone UEFA ya msimu ujao tutakuja na jipya gani
 
Eeeh si huku haiezi fanyika ,si tulisoma vitabu setbooks zetu zenye.tulisoma zilikuwa written by kenyans na mbili written by whites but nigerians,waende kwao wajiweke vidole,we cant read anything nigerian,umesoma kidagaa kimemwozea ama the river between?their both kenyan

Sijasoma chochote kutoka Kenya, nilikuwa naona kama nitawapa sifa nikisoma kitabu cha Kenya au Uganda.
 

Similar Discussions

260 Reactions
Reply
Back
Top Bottom