JF Usiku wa Manane...!


No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Messages
5,257
Likes
5,297
Points
280
No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2016
5,257 5,297 280
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
 
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
10,424
Likes
21,149
Points
280
Age
25
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
10,424 21,149 280
Tuwashauri wadogo zetu hasa vijana kutafuta pesa kwa njia halali. Kuna mwizi tumetoka kumgonga hapa mbele ya mama yake kapigwa kiberiti, mama kalia hadi huruma ilinishika ila ndo ivyo huruma yangu haikufua dafu mbele ya wananchi wenye hasira kali

"Typed with my thumbs."
Mkuu kama unaweza kuanzishia thread yake yenyewe naomba unitag.

Asante in advance.
 
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
5,795
Likes
11,504
Points
280
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
5,795 11,504 280
sina tatizo kwanza nlkua mzima had naingia kulala hali ika chenchi ghafla tuu
kunao mlinzi apa kanifatia asali kwake
nina allergy lakin haijulkan ya nn ila matokeo yake ndo kama ivi kifua kubana
last year skuwah kuumwa even this year ila nko kasulu kigoma hapa ndo nashangaa af always usiku tuu
Bro pole sana, inabidi upate muda uende Hospital.

Kasulu uko mitaa gani? Murubona, Kagunga, Murusi, Mwilamvya, Mlimani!
 

Forum statistics

Threads 1,262,316
Members 485,560
Posts 30,120,613