Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
Kwakweli tutazeeka kabla ya wakatiFanya ulale...tunahitaji beauty sleep...
Usijichakaze na ma caffeine
Kwakweli tutazeeka kabla ya wakatiFanya ulale...tunahitaji beauty sleep...
Usijichakaze na ma caffeine
Usingizi huwa hauangalii jambo hiloNipo nitakuliwaza
Huo ni uvivu sasaNajitahidi lakini naona kabisa kushindwa kupo mbele yangu kahawa nimekunywa hadi imenizoea
Usingizi ni mindset yako tu.Usingizi huwa hauangalii jambo hilo
Saa tisa.!!ngoja nioneJitahidi angalau ufike hata saa tisa hivi
Huwezi lala pekee yako...Saa tisa.!!ngoja nione
Jamaa analike tuCc
Ambiele Kiviele wewe ni mwiko kuchangia??????
Huo ni uvivu sasa
Na kwako pia
Acha utani labda kama haujakukaba vizuriUsingizi ni mindset yako tu.
Unakukaba vipi wakati ushauambia ubongo kua hutaki kulala????Acha utani labda kama haujakukaba vizuri
01:30Huwezi lala pekee yako...
Usilalee niwe naona hiyo avatar01:30
Na bora usipate usingizi..uimarishe lindo vizuriHuu uzi sometime unaweza ukakufanya mtu ukeshe maana notification za kina "Yna4,Astelia,Bbade" mixer movie hata sipati usingizi aysee
Ubongo nao ulalaUnakukaba vipi wakati ushauambia ubongo kua hutaki kulala????
Chumchang changchum
HahaUsilalee niwe naona hiyo avatar