HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,486
- 6,248
Kiongozi yaisheUnamuwaza wakati niponae zamu hapa....
Kiongozi yaisheUnamuwaza wakati niponae zamu hapa....
Mzmaaa kabisaa miss uNipo zilipendwa wangu. Mzima?
Nikiamua kuifunga mkuu, maana wifi wako anayo nywila ujue..... tehteehhhWakufunga prime minister uwe wewe?
Angalia asikumize
Huyo kaka ako anajua mm mkewe muoga huwa hanielezi hizo mambooWifi hakuna maiti kule kaka alisema huwa anawaamsha wote wajieleze wamekufaje
Vp shemeji anabana nn?wacha mabarubaru tuusogeze usiku buanaMimi ni mstaafu hapa nawasalimia tu
Ndo naikamata mmoja mmoj naanza na weweKamata hiyo rudisha kwa Shamba hakuna leta mchezo na production aisee
Wewe wa kuniruka mita 100Usinichonganishe na Inna
Kwa Mods wanavyo sutwa vile.... tehteehhhMdomo wangu umebaki wazi aki....
Wanaume wa Dar mmeambukiza wanyama tabia mbaya....tangu lini ng'ombe akaota motoJamani hii baridi hii what is wrong?????View attachment 812147
Kahawa ipo?Tena uje utakuta kuna moto huku wa kutosha
Nilishaga ifunga mkuu, maana skuizi PM za wadada zilizidi wallah.... tehteehhhShukran naomba ufungue mara moja
Mkuu wanasikia baridi imebidi wasogee kidogo kwenye joto.Mkuu hao ni ngombe wa kuchoma
Mdomo wangu umebaki wazi aki....
Okay ngj nibak domo wazi!!!Nilishaga ifunga mkuu, maana skuizi PM za wadada zilizidi wallah.... tehteehhh
Ushimen kanipiga biti acha nikae kimyaKumbe ndio maana nimepaliwa
Maumivu haya hayahitaji painkiller ukikumbuka baadae sana unasmile tu basi .
akikujibu unitagMkuu hao ni ngombe wa kuchoma
Hahahahaha kweli arooo reo hatujagongana kabisa mtaaniNisamehe bure, tatizo leo kutwa nzima tunachengana, ukiingia mimi nimetoka nikiingia sikukuti
Huku Ushirombo ni Pale Mwembeni (PM)....Member of Parliament(MP) cheo kikubwa aki....