JF tulizo la kila kitu...haya tusadiane kwa hili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF tulizo la kila kitu...haya tusadiane kwa hili.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by msikivuTz, Jun 20, 2011.

 1. m

  msikivuTz Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 25
  poleni wa Tz wenzangu kwa kuwa na mioyo inayobubujika machozi ya shida za maisha Tz! tupilia kule, ingia JF furahia maisha, na kama vp washitue na wengine. to the point now.... Hapa Jf kuna watalaam wengi sana naomba mnisaidie software itakayozuia m2 anayekusumbua kwenye cm asikupate. Pia natoa ombi kama unayo software yoyote na unajua ni UNIQUE pls weka hapa ili kuongezea maujuzi Great thinkers wa JF. karibuni jamani.
   
 2. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye RED...umekosea kupost sehemu husika....
  Pia kwenye Blue kama mtu anayekusumbua kwenye simu si umpotezee tu....tabu yote yanini kumtafutia software?
  I stand to be corrected kam MMU...unaweza ulizia software.
   
 3. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Jukwaa la teknolojia litakufa sana hapa ni full mahusiano na mapenzi na kila kitu kinachohusiana na hayo
   
Loading...